Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

Mchina Nampa Hongera sana sana kwa kuangalia nini kinachotufaa sisi Watanzania. Naangalia bei ya hizi Howo, Faw , schacman naoni bei zao ziko reasonable price ukilinganisha na haya mascania ambayo mabei yake yanaumiza sana sana, Wazungu wahuni sana wanatupiga bei sana, Asante mchina , mascania yatakuja kuozea huko kwenye yard zao Uingereza.

Nawapongeza matajiri waliohamia kwenye gari za Kichina wameenda na Alama za nyakati.
View attachment 2635647View attachment 2635649
Mkuu unajua ubora wa scania au unaropoka tu??????? Je ushawahi kumiliki lori????
 
Scania daima itabaki kuwa scania tu....kwa wanaojua mambo ya magari /ma-Tx Drivers ama wamiliki wa magari ya mizigo/abiria....

Ila kwa wamiliki wa (Vyombo vya usafiri ) hawatanielewa katu....!

Kuna Gari, na Chombo cha usafiri! Kuna tofauti kubwa hapo.
Hivyo ulivotaja ni Vyombo vya usafiri.

Salute kwenu Sub-Scania hapo Vingweta(Vingunguti)
 
Dereva wa Howo ndani ya miezi 3 lazima aanze kutumia dawa za maumivuu ya mgongoni.. Akizidisha miaka 2 bhas na kazi kule maeneo inakuwa hamna.. Dakika tu kwishaa...

Kwa kazi za muda mfupi kama miradi Howo ni best option and efficient.. Engine ndogo, fuel consumption kidogo na inabeba mzigo mkubwa kuliko Sùcania.. Ila durability ni ndogo..

Kwa mradi ni sawa maana unaipigisha kazi miaka 5 then unaitema..
Ndio maana madereva wa masafa wanapenda dawa za kienyeji kwenye chupa za maji utaona mizizi na vipande vya miti.
 
Scania daima itabaki kuwa scania tu....kwa wanaojua mambo ya magari /ma-Tx Drivers ama wamiliki wa magari ya mizigo/abiria....

Ila kwa wamiliki wa (Vyombo vya usafiri ) hawatanielewa katu....!

Kuna Gari, na Chombo cha usafiri! Kuna tofauti kubwa hapo.
Hivyo ulivotaja ni Vyombo vya usafiri.

Salute kwenu Sub-Scania hapo Vingweta(Vingunguti)
Kwa biasharaa ya mabus ya abiria bado Mchina ni the best anarejesha pesa haraka sana kuliko scania.
 
Back
Top Bottom