Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
- Thread starter
- #21
ZUCHUUU baba achana na hayo mamitumba Scania , yanakuwa yameenda km 2000000 ,yakifika hapo Morogoro inazaaKitu zuchu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZUCHUUU baba achana na hayo mamitumba Scania , yanakuwa yameenda km 2000000 ,yakifika hapo Morogoro inazaaKitu zuchu
Mchina Nampa Hongera sana sana kwa kuangalia nini kinachotufaa sisi Watanzania. Naangalia bei ya hizi Howo, Faw , schacman naoni bei zao ziko reasonable price ukilinganisha na haya mascania ambayo mabei yake yanaumiza sana sana , Wazungu wahuni sana wanatupiga bei sana , Asante mchina , mascania yatakuja kuozea huko kwenye yard zao Uingereza . Nawapongeza matajiri waliohamia kwenye gari za Kichina wameenda na Alama za nyakati View attachment 2635647View attachment 2635649
Mkuu tembea uone, cheki page ya Scania Tanzania InstagramHamna mbongo anaweza kununua brand new Scania , tunaishia tuu kununua hizi mitumba za Scania , ambazo saa ingine kufika Morogoro inazaa , hazina warranty.
Nimeona baadhi ya makampuni wanarudi Scania, Klm express na Sauli huwaambii kitu juu ya ScaniaMchina Nampa Hongera sana sana kwa kuangalia nini kinachotufaa sisi Watanzania. Naangalia bei ya hizi Howo, Faw , schacman naoni bei zao ziko reasonable price ukilinganisha na haya mascania ambayo mabei yake yanaumiza sana sana , Wazungu wahuni sana wanatupiga bei sana , Asante mchina , mascania yatakuja kuozea huko kwenye yard zao Uingereza . Nawapongeza matajiri waliohamia kwenye gari za Kichina wameenda na Alama za nyakati View attachment 2635647View attachment 2635649
Ndizo nyingi zinablock sana barabara Kitonga na Nyang'oroHizo Chinese truck kuna wengine wanaleta Second Hand, zinakuwa zipo kwenye uchakavu
Mhhh!Wachina ni wewe na bei yako!! Kuna Shacman hizo Scania zenu ni takataka. Afu mchina uzuri wake unatoa kitu kwenye karatasi
Halafu hata designing mzungu anatazama factors nyingi kuliko mchinaWanapenda kutumia malighafi cheap sana kuunda vitu vyao. Waige hata mjapani basi aargh.
Mleta uzi ni Mavindozii msameheScania king of road.. watapambana lakini hawatashinda