bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Gari za mizigo labda na Sio kwenye passenger bus huku ni comfortability, luxuries, muonekano ndipo mchina anapotekea soko.Longetivity ya chombo ni moja ya muhimili mkubwa kwenye biashara ya transport.
YANI UNALINGANISHA SCANIA NA HUO UCHAFU🤔
Biashara ya mabasi kwa bongo ni kama ponzi scheme, watu unaona wakiingia ila hutaona wakitoka!!Gari za mizigo labda na Sio kwenye passenger bus huku ni comfortability, luxuries, muonekano ndipo mchina anapotekea soko.
Pesa inarudi unavuta chuma zingine mbili unauza za zamani unakuwa umefanya business longertivity
Mfano Sauli ana bus DRH na DPN zimepmbana na series zifuatazo za Newforce na bado zipo DPK series,DZU series,EBK series na Sasa ECH series.Longetivity ya chombo ni moja ya muhimili mkubwa kwenye biashara ya transport.
Mkuu biashara ni investment na payback period.How haziwezi kuichallenge scania kwa kua kila gari ina ubabe wake
Pigisha howo ruti ndefu for long time uone kama atatotoboa kwa scania
Huoni New Force kila siku analaza watu. Njia za kibabe mchina kifua kidogo, Scania ndio gari ya kazi.Nimeona baadhi ya makampuni wanarudi Scania, Klm express na Sauli huwaambii kitu juu ya Scania
Wewe umenielewa !!!Mfano Sauli ana bus DRH na DPN zimepmbana na series zifuatazo za Newforce na bado zipo DPK series,DZU series,EBK series na Sasa ECH series.
Mpambano mwingine ni wa allys na katarama hapo mwanza ! Muda utaongea , kama katarama hatapata majanga ya ajali allys atabadilisha sana basi ili ku keep up na zile scania .Mfano Sauli ana bus DRH na DPN zimepmbana na series zifuatazo za Newforce na bado zipo DPK series,DZU series,EBK series na Sasa ECH series.
Durability ikoje? Kuna magari ya Isuzu (sijui kama umeyaona) nimezaliwa nikazikuta, mpaka naanza shule zipO, nikamaliza la Sekondari zipo, nikamaliza chuo kikuu zipo....juzi juzi ndiyo imechechemeaMchina Nampa Hongera sana sana kwa kuangalia nini kinachotufaa sisi Watanzania. Naangalia bei ya hizi Howo, Faw , schacman naoni bei zao ziko reasonable price ukilinganisha na haya mascania ambayo mabei yake yanaumiza sana sana, Wazungu wahuni sana wanatupiga bei sana, Asante mchina , mascania yatakuja kuozea huko kwenye yard zao Uingereza.
Nawapongeza matajiri waliohamia kwenye gari za Kichina wameenda na Alama za nyakati.
View attachment 2635647View attachment 2635649
Mkuu wewe game unalijua !!! Sasa hao uliowataja ni ma big fish!!Hizo Chinese Truck kama Faw na Howo kacheki zile walizoingiza Mwanzo wakina Omar Awadh, T.U.T,Pwani Road Haulage
Mpaka sasa kashaleta vifurushi mara mbili EBF na hizi Mpya bado hazina namba.Mpambano mwingine ni wa allys na katarama hapo mwanza ! Muda utaongea , kama katarama hatapata majanga ya ajali allys atabadilisha sana basi ili ku keep up na zile scania .
Ruvuma kule kwa piece nne za super feo new force kaweka zhong tong zaidi ya kumi zinabafilishana siku za kutoka.
Ila Newforce anatunza gari bwana zile DKX za Songea mpaka leo ziko poa..ila jambo analofanya gari ikienda hairudiMpambano mwingine ni wa allys na katarama hapo mwanza ! Muda utaongea , kama katarama hatapata majanga ya ajali allys atabadilisha sana basi ili ku keep up na zile scania .
Ruvuma kule kwa piece nne za super feo new force kaweka zhong tong zaidi ya kumi zinabafilishana siku za kutoka.
Anachofanya new force sio typical biashara ya transportation, yeye anauza mabasi ndo maana zikichoka kidogo amazitoa .Ila Newforce anatunza gari bwana zile DKX za Songea mpaka leo ziko poa..ila jambo analofanya gari ikienda hairudi
Kipisi cha kichina bei imesimama hata kikiwa used. Wakina Mohamed Dewji na ATT Tabora wakinunua rigid trucks(vipisi) huwa wanaongeza trailer zinakuwa pulling.Mkuu wewe game unalijua !!! Sasa hao uliowataja ni ma big fish!!
Imagine mtu anayeanza halafu gari ya 57k Usd inakufia kifo kile , na gari ya kichina ikifa imekufa .ndo maana hakuna kipisi cha kichina
Na wajanja sana, wanafanya preventive maintenance gari wakiagiza wanaleta na spare parts kibao kwenye boots. Kifaa kikizingua mchina anahakikisha kinafungwa kipya.Anachofanya new force sio typical biashara ya transportation, yeye anauza mabasi ndo maana zikichoka kidogo amazitoa .
New force route ya tunduma ana gari zaidi ya 20 zinapokezana siku za kutoka nyingine reserve
Na hizo howo ziliingia zikiwa 0km,scania ni gharama mfano hizo ulizoziona asilimia kubwa kama si zote ni used hiyo ni ishara kwamba kiuchumi duniani tupo nyuma ukilinganisha na wenzetu.Tusichekelee kuwa na bidhaa duni.Asante mkuu , Niko hapa Namanga, nimetoka kuhesabu Howo zilizobeba tiles from Dar to Nairobi ziko nyingi kuliko Scania . Sinotruck apewe maua yake mkuu.
Hakuna kitaishi milele, just playing with its life span.....