Ulimwengu wa vichaa na wendawazimu Kile usichokiona wakionacho

Ulimwengu wa vichaa na wendawazimu Kile usichokiona wakionacho

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Mjadala kamili uko hapa

(6,958) Vichaa huona nini? | JamiiForums Vichaa huona nini?

Kwa ufupi ni kwamba kuna namna fulani macho yao hufunguliwa na kuona sisi tusivyoviona. Ama akili zao hugeuza uelekeo na kutengeneza maombi tofauti akilini mwao

Hivyo ukimpa kichaa/ mwendawazimu vifaa vya uchoraji akuchoree .. Hizi ndio picha anaweza kukuchorea

Je na wewe ni kichaa au mwendawazimu?

Jibu: Sisi sote tu vichaa na wendawazimu.. Tunachotofautiana ni asilimia tuu..

Pengine hata kuposti uzi wa vichaa wakati wengine wamelala ni aina mojawapo...🥺😎😂
3cf84f4e-0a45-4aba-9648-73d39edec6c5.jpeg
 
Back
Top Bottom