(Luke 8:26-36)
Yesu akimtembelea kichaa, mapepo yanamwacha,
Nafsi ilofungwa inarudi mahala pake senses zinamrudia anakuwa timamu Tena.
Mungu ni mmoja tu, na jina la Mungu huyo mmoja aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu ni Yesu Kristo/ Yeshua Hamashiach.