Ulimwengu wa vichaa na wendawazimu Kile usichokiona wakionacho

Ulimwengu wa vichaa na wendawazimu Kile usichokiona wakionacho

1c78b2b9-a46c-4e5f-8a8c-fd3e01253aae.jpeg
 
Mjadala kamili uko hapa

(6,958) Vichaa huona nini? | JamiiForums Vichaa huona nini?

Kwa ufupi ni kwamba kuna namna fulani macho yao hufunguliwa na kuona sisi tusivyoviona. Ama akili zao hugeuza uelekeo na kutengeneza maombi tofauti akilini mwao

Hivyo ukimpa kichaa/ mwendawazimu vifaa vya uchoraji akuchoree .. Hizi ndio picha anaweza kukuchorea

Je na wewe ni kichaa au mwendawazimu?

Jibu: Sisi sote tu vichaa na wendawazimu.. Tunachotofautiana ni asilimia tuu..

Pengine hata kuposti uzi wa vichaa wakati wengine wamelala ni aina mojawapo...🥺😎😂View attachment 3383602
Aisee, huyu ni kichaa gani aliyechora hivi.....nataka anichore tattoo
 
Back
Top Bottom