Kwa ufupi ni kwamba kuna namna fulani macho yao hufunguliwa na kuona sisi tusivyoviona. Ama akili zao hugeuza uelekeo na kutengeneza maombi tofauti akilini mwao
Hivyo ukimpa kichaa/ mwendawazimu vifaa vya uchoraji akuchoree .. Hizi ndio picha anaweza kukuchorea
Je na wewe ni kichaa au mwendawazimu?
Jibu: Sisi sote tu vichaa na wendawazimu.. Tunachotofautiana ni asilimia tuu..
Pengine hata kuposti uzi wa vichaa wakati wengine wamelala ni aina mojawapo...๐ฅบ๐๐