Ulinganifu wa vita kati ya USA na Iraq dhidi ya vita kati ya Urusi na Ukraine

Vita hizi zote zinaitwa operation.

USA waliita operation desert storm.

Urusi waniita operation maalumu.

USA wakisema Iraq Ina silaha za maangamizi WMD hivyo inyang'anywe.

Urusi wanataka Ukraine isijiunge na NATO,kwa vile Ukraine kakataa ombi la Urusi la kutojiunga NATO Urusi kaona basi avunje nguvu ya uwezo wa kijeshi wa Ukraine.

USA kabla ya kuipiga Iraq alihakikisha kwanza anapata taarifa zote muhimu za maeneo ya kijeshi,silaha na nguvu ya jeshi la Iraq.
Alitumia ujanja wa kuwatumia wachunguzi wa umoja wa mataifa kupitia shirika la atomic Dunia lililokua linaongozwa Mohamed El baradei.

Kwa kuchomeka wataalamu wa atomic waliokua wanaipa taarifa USA kwa Siri. Viongozi wa timu za ukaguzi wa silaha za maangamizi walikua ni Josef Butler ambae baadae alikataliwa na Iraq kwa kushukiwa kuifanyia ujasusi USA,ndipo akaletwa mwingine bwana Hans Brix. Ukweli Hawa waliisaidia sana USA kujua Siri za jeshi la Iraq maana timu ilikua inapita Kambi zote za jeshi la Iraq kukagua WMD.

Urusi imetumia muda mwingi kuishawishi Ukraine isijiunge na NATO ili ibaki kuwa taifa lisilofungamana upande wowote. Urusi imejaribu kuishawishi USA ili NATO isizidi kuisogelea hasa kupitia Ukraine,lakini wapi. Urusi imajaribu kuzishawishi nchi za ulaya kuhusu kutanuka kwa NATO kuelekea upande wake lakini haikusikilizwa. USA ilipoona imeijua vizuri Iraq kupitia wachunguzi wa silaha za maangamizi wa UN ikaanzisha mashambulizi.

Hata hivyo USA haikuenda Iraq peke yake, ilikwenda na nchi karibu zote za NATO kasoro Ufaransa na nchi chache kwenda kuipiga Iraq iloyopelelezwa na UN na ikiwa imewekewa vikwazo.

Sio tu nchi za ulaya Bali pia kulikua na nchia za kiarabu na mataifa mengine kwenda kuipiga Iraq.Na kuhakikisha Iraq haipati msaada wowote kutoka popote Duniani.

Kinyume na USA,Urusi umeamua kuipiga Ukraine,lakini Urusi imekwenda peke yake.

Sasa Cha ajabu,
NATO wote wanampa msaada Ukraine.

West wote wamemuwekea Urusi vikwazo vingi sana tokea Dunia hii kuumbwa.

USA na west wenzake wanasema Urusi imetengwa na Dunia nzima, lakini nchi zinalazimishwa kuitenga, hata kama hazina shida na Urusi,vikwazo vyenyewe sio vya UN ni vya west.

Ugomvi wa west na Urusi wanalazimisha Dunia nzima imwekee ukwazo na imtenge. Utakuta nchi nyingine kufanya biashara na Urusi ndio uchumi wao unategemea lakini wanalazimishwa waiwekee vikwazo.

USA ailipigana na Iraq akiwa na washirika wake,wakati Iraq ikiwa peke yake, lakini iliwachukua zaidi ya mwezi kumuangusha Sadam.

Urusi inapigana na Ukraine nchi yenye Nguvu ya kijeshi mara Tano ya Iraq Ile na Huku ukipata mafunzo na silaha Bora kabisa, ushauri,mbinu, nguvu ya mawaziliano ujasusi wa kiraia na kijeshi kutoka NATO, Wakati Urusi inapigana peke yake.

NATO wote wanatangaza kupeleka misaada ya silaha na fedha Ukraine,lakini hawataki kusikia Urusi inasaidiwa na nchi yoyote.ingawa Urusi hahitaji msaada wowote.

Vyombo vya habari vyote vikubwa ni vya west,
Na lugha kubwa inayoeleweka Dunia nzima English ni ya west.

Vita ni vita wamarekani wengi walikufa Iraq na WA iraq kwa maelfu nao walikufa.

Vita ni vita,Warusi wanakufa Ukraine,na WA Ukraine wanakufa.
Wanajeshi wa Urusi wakipungukiwa kitu ktk uwanja wa mapambano hiyo ni habari,
Lakini wamarekani wakiomba kusaidiwa na mataifa rafiki zake hao ni Allies na hiyo sio habari.
umechambua vizuri sana, kwa vyovyote vile, kitendo cha ukraine kukubali neutrality status na kuwa nuclear free state ni ushindi mkubwa sana kwa urusi na kushindwa kubaya sana kwa nato na mataifa mengine ya ulaya magharibi. kumbuka madai haya ndiyo yalikuwa chanzo cha vita na nato na west walitumia nguvu kubwa kuishauri ukraine kuyakataa na kuisababisha urusi kuingia vitani. VIVA RUSSIA, VIVA PUTIN , VIVA WAPIGANIA HAKI WOTE
 
Wacomunist kwa propaganda hamjambo, eti US ilienda Iraq na nchi karibu zote za NATO wakati ukweli walioenda ni US na UK.
Hata Ukraine Urusi kaenda na Belarus lakini zaidi ya mwezi bado kimeumana, lakini US alitumia siku 22 tu kuing'oa serikali ya Saddam.
 
The Gulf Warhttps://en.m.wikipedia.org/wiki/Gulf_War#cite_note-22 was an armed campaign waged by a United States-led coalition of 35 nations against Iraq in response to the Iraqi invasion and annexation of Kuwait. It was codenamed Operation Desert Shield (2 August 1990 – 17 January 1991) during the pre-combat buildup of troops and the defense of Saudi Arabia, and Operation Desert Storm (17 January 1991 – 28 February 1991) during its combat phase.
 
Wacomunist kwa propaganda hamjambo, eti US ilienda Iraq na nchi karibu zote za NATO wakati ukweli walioenda ni US na UK.
Hata Ukraine Urusi kaenda na Belarus lakini zaidi ya mwezi bado kimeumana, lakini US alitumia siku 22 tu kuing'oa serikali ya Saddam.
March 27, 2003​
Coalition Members

Who are the current coalition members?
President Bush is assembling a Coalition that has already begun military operations to disarm Iraq of its weapons of mass destruction, and enforce 17 UNSC resolutions.
The Coalition will also liberate the Iraqi people from one of the worst tyrants and most brutal regimes on earth.
Contributions from Coalition member nations range from: direct military participation, logistical and intelligence support, specialized chemical/biological response teams, over-flight rights, humanitarian and reconstruction aid, to political support.
Forty-nine countries are publicly committed to the Coalition, including:
Afghanistan
Albania
Angola
Australia
Azerbaijan
Bulgaria
Colombia
Costa Rica
Czech Republic
Denmark
Dominican Republic
El Salvador
Eritrea
Estonia
Ethiopia
Georgia
Honduras
Hungary
Iceland
Italy
Japan
Kuwait
Latvia
Lithuania
Macedonia
Marshall Islands
Micronesia
Mongolia
Netherlands
Nicaragua
Palau
Panama
Philippines
Poland
Portugal
Romania
Rwanda
Singapore
Slovakia
Solomon Islands
South Korea
Spain
Tonga
Turkey
Uganda
Ukraine
United Kingdom
United States
Uzbekistan
This number is still growing, and it is no accident that many member nations of the Coalition recently escaped from the boot of a tyrant or have felt the scourge of terrorism. All Coalition member nations understand the threat Saddam Hussein's weapons pose to the world and the devastation his regime has wreaked on the Iraqi people.
  • The population of Coalition countries is approximately 1.23 billion people.
  • Coalition countries have a combined GDP of approximately $22 trillion.
  • Every major race, religion, ethnicity in the world is represented.
  • The Coalition includes nations from every continent on the globe.
Printer-Friendly VersionPrinter-Friendly Version Email this pageEmail This Page
 
Screenshot_2022-04-01-10-48-54-81.jpg
 
Vita hizi zote zinaitwa operation.

USA waliita operation desert storm.

Urusi waniita operation maalumu.

USA wakisema Iraq Ina silaha za maangamizi WMD hivyo inyang'anywe.

Urusi wanataka Ukraine isijiunge na NATO,kwa vile Ukraine kakataa ombi la Urusi la kutojiunga NATO Urusi kaona basi avunje nguvu ya uwezo wa kijeshi wa Ukraine.

USA kabla ya kuipiga Iraq alihakikisha kwanza anapata taarifa zote muhimu za maeneo ya kijeshi,silaha na nguvu ya jeshi la Iraq.
Alitumia ujanja wa kuwatumia wachunguzi wa umoja wa mataifa kupitia shirika la atomic Dunia lililokua linaongozwa Mohamed El baradei.

Kwa kuchomeka wataalamu wa atomic waliokua wanaipa taarifa USA kwa Siri. Viongozi wa timu za ukaguzi wa silaha za maangamizi walikua ni Josef Butler ambae baadae alikataliwa na Iraq kwa kushukiwa kuifanyia ujasusi USA,ndipo akaletwa mwingine bwana Hans Brix. Ukweli Hawa waliisaidia sana USA kujua Siri za jeshi la Iraq maana timu ilikua inapita Kambi zote za jeshi la Iraq kukagua WMD.

Urusi imetumia muda mwingi kuishawishi Ukraine isijiunge na NATO ili ibaki kuwa taifa lisilofungamana upande wowote. Urusi imejaribu kuishawishi USA ili NATO isizidi kuisogelea hasa kupitia Ukraine,lakini wapi. Urusi imajaribu kuzishawishi nchi za ulaya kuhusu kutanuka kwa NATO kuelekea upande wake lakini haikusikilizwa. USA ilipoona imeijua vizuri Iraq kupitia wachunguzi wa silaha za maangamizi wa UN ikaanzisha mashambulizi.

Hata hivyo USA haikuenda Iraq peke yake, ilikwenda na nchi karibu zote za NATO kasoro Ufaransa na nchi chache kwenda kuipiga Iraq iloyopelelezwa na UN na ikiwa imewekewa vikwazo.

Sio tu nchi za ulaya Bali pia kulikua na nchia za kiarabu na mataifa mengine kwenda kuipiga Iraq.Na kuhakikisha Iraq haipati msaada wowote kutoka popote Duniani.

Kinyume na USA,Urusi umeamua kuipiga Ukraine,lakini Urusi imekwenda peke yake.

Sasa Cha ajabu,
NATO wote wanampa msaada Ukraine.

West wote wamemuwekea Urusi vikwazo vingi sana tokea Dunia hii kuumbwa.

USA na west wenzake wanasema Urusi imetengwa na Dunia nzima, lakini nchi zinalazimishwa kuitenga, hata kama hazina shida na Urusi,vikwazo vyenyewe sio vya UN ni vya west.

Ugomvi wa west na Urusi wanalazimisha Dunia nzima imwekee ukwazo na imtenge. Utakuta nchi nyingine kufanya biashara na Urusi ndio uchumi wao unategemea lakini wanalazimishwa waiwekee vikwazo.

USA ailipigana na Iraq akiwa na washirika wake,wakati Iraq ikiwa peke yake, lakini iliwachukua zaidi ya mwezi kumuangusha Sadam.

Urusi inapigana na Ukraine nchi yenye Nguvu ya kijeshi mara Tano ya Iraq Ile na Huku ukipata mafunzo na silaha Bora kabisa, ushauri,mbinu, nguvu ya mawaziliano ujasusi wa kiraia na kijeshi kutoka NATO, Wakati Urusi inapigana peke yake.

NATO wote wanatangaza kupeleka misaada ya silaha na fedha Ukraine,lakini hawataki kusikia Urusi inasaidiwa na nchi yoyote.ingawa Urusi hahitaji msaada wowote.

Vyombo vya habari vyote vikubwa ni vya west,
Na lugha kubwa inayoeleweka Dunia nzima English ni ya west.

Vita ni vita wamarekani wengi walikufa Iraq na WA iraq kwa maelfu nao walikufa.

Vita ni vita,Warusi wanakufa Ukraine,na WA Ukraine wanakufa.
Wanajeshi wa Urusi wakipungukiwa kitu ktk uwanja wa mapambano hiyo ni habari,
Lakini wamarekani wakiomba kusaidiwa na mataifa rafiki zake hao ni Allies na hiyo sio habari.
Chanzo cha Desert Storm ni Saddam kipumbavu kabisa kuivamia nchi huru ya Kuwait na kuitangaza ni mkoa wake mpya. Mtu mpumbavu na mwehu kama Saddam hakupaswa kubaki madarakani ilikuwa sahihi kabisa kumuondoa. Sultani Putin na mandondocha yake hana sababu ya msingi zaidi ya ubabe wa kitoto kuivamia na kuiharibu Ukraine na kuua indiscriminately wanawake na watoto.
 
NATO wanangojea nn !!!??
 
Nonsense, wamarekani waliivamia Iraq eti wakisema wanasilaha za nuclear.Na walipata nuclear Aina ya dhahabu na mafuta.Team USA muwe na akili kidogo wamarekani ni wauaji mpaka afrika.
 
Iraq haikuwa na silaha za nyuklia isippkuwa huyo Mohammed El baradei ndio aliechochea fitna kwa Bush akaamua kuivamia Iraq maana Donald Ramsfield aliekuwa waziri wa ulinzi alisema hawajakuta silaha za nuclear ndio bush akaamua kumtuma huyo El baradei msomi PHD ya science ya mionzi na military sciance mwenye asili ya Egypt(kibaraka )aliefurushwa egypt enzi za Hosni mubaraka.
 
Wacomunist kwa propaganda hamjambo, eti US ilienda Iraq na nchi karibu zote za NATO wakati ukweli walioenda ni US na UK.
Hata Ukraine Urusi kaenda na Belarus lakini zaidi ya mwezi bado kimeumana, lakini US alitumia siku 22 tu kuing'oa serikali ya Saddam.
Ww kama si mgonjwa basi unatakiwa utibiwe, sio tu nato walioshiriki ile vita bali walishiriki mpaka majeshi yenu na majirani zenu Uganda, walikua wanalipa 35dollar per hour, hizo nchi kama Poland, Romania, Ukraine ndio ni miongoni mwa nchi zilizochangia wanajeshi wengi
 
Ngombe, natoa 1M, nipe proof kuwa Ukrein ilipereka majeshi yake uko iraq
 
Na NATO wanafanya mazoezi it means ni maandalizi muda wowote unaweza ona bendera ya nato inapepea moscow
 
Vita hizi zote zinaitwa operation.

USA waliita operation desert storm.

Urusi waniita operation maalumu.

USA wakisema Iraq Ina silaha za maangamizi WMD hivyo inyang'anywe.

Urusi wanataka Ukraine isijiunge na NATO,kwa vile Ukraine kakataa ombi la Urusi la kutojiunga NATO Urusi kaona basi avunje nguvu ya uwezo wa kijeshi wa Ukraine.

USA kabla ya kuipiga Iraq alihakikisha kwanza anapata taarifa zote muhimu za maeneo ya kijeshi,silaha na nguvu ya jeshi la Iraq.
Alitumia ujanja wa kuwatumia wachunguzi wa umoja wa mataifa kupitia shirika la atomic Dunia lililokua linaongozwa Mohamed El baradei.

Kwa kuchomeka wataalamu wa atomic waliokua wanaipa taarifa USA kwa Siri. Viongozi wa timu za ukaguzi wa silaha za maangamizi walikua ni Josef Butler ambae baadae alikataliwa na Iraq kwa kushukiwa kuifanyia ujasusi USA,ndipo akaletwa mwingine bwana Hans Brix. Ukweli Hawa waliisaidia sana USA kujua Siri za jeshi la Iraq maana timu ilikua inapita Kambi zote za jeshi la Iraq kukagua WMD.

Urusi imetumia muda mwingi kuishawishi Ukraine isijiunge na NATO ili ibaki kuwa taifa lisilofungamana upande wowote. Urusi imejaribu kuishawishi USA ili NATO isizidi kuisogelea hasa kupitia Ukraine,lakini wapi. Urusi imajaribu kuzishawishi nchi za ulaya kuhusu kutanuka kwa NATO kuelekea upande wake lakini haikusikilizwa. USA ilipoona imeijua vizuri Iraq kupitia wachunguzi wa silaha za maangamizi wa UN ikaanzisha mashambulizi.

Hata hivyo USA haikuenda Iraq peke yake, ilikwenda na nchi karibu zote za NATO kasoro Ufaransa na nchi chache kwenda kuipiga Iraq iloyopelelezwa na UN na ikiwa imewekewa vikwazo.

Sio tu nchi za ulaya Bali pia kulikua na nchia za kiarabu na mataifa mengine kwenda kuipiga Iraq.Na kuhakikisha Iraq haipati msaada wowote kutoka popote Duniani.

Kinyume na USA,Urusi umeamua kuipiga Ukraine,lakini Urusi imekwenda peke yake.

Sasa Cha ajabu,
NATO wote wanampa msaada Ukraine.

West wote wamemuwekea Urusi vikwazo vingi sana tokea Dunia hii kuumbwa.

USA na west wenzake wanasema Urusi imetengwa na Dunia nzima, lakini nchi zinalazimishwa kuitenga, hata kama hazina shida na Urusi,vikwazo vyenyewe sio vya UN ni vya west.

Ugomvi wa west na Urusi wanalazimisha Dunia nzima imwekee ukwazo na imtenge. Utakuta nchi nyingine kufanya biashara na Urusi ndio uchumi wao unategemea lakini wanalazimishwa waiwekee vikwazo.

USA ailipigana na Iraq akiwa na washirika wake,wakati Iraq ikiwa peke yake, lakini iliwachukua zaidi ya mwezi kumuangusha Sadam.

Urusi inapigana na Ukraine nchi yenye Nguvu ya kijeshi mara Tano ya Iraq Ile na Huku ukipata mafunzo na silaha Bora kabisa, ushauri,mbinu, nguvu ya mawaziliano ujasusi wa kiraia na kijeshi kutoka NATO, Wakati Urusi inapigana peke yake.

NATO wote wanatangaza kupeleka misaada ya silaha na fedha Ukraine,lakini hawataki kusikia Urusi inasaidiwa na nchi yoyote.ingawa Urusi hahitaji msaada wowote.

Vyombo vya habari vyote vikubwa ni vya west,
Na lugha kubwa inayoeleweka Dunia nzima English ni ya west.

Vita ni vita wamarekani wengi walikufa Iraq na WA iraq kwa maelfu nao walikufa.

Vita ni vita,Warusi wanakufa Ukraine,na WA Ukraine wanakufa.
Wanajeshi wa Urusi wakipungukiwa kitu ktk uwanja wa mapambano hiyo ni habari,
Lakini wamarekani wakiomba kusaidiwa na mataifa rafiki zake hao ni Allies na hiyo sio habari.
Umeongea Vyema unastahili pongezi 🙏🇷🇺
 
Guseni kataifa kokote ka NATO ndio uje useme, sasa kataifa kama Ukraine nje ya NATO kametoa Urusi makamasi yote sembuse NATO yenyewe, ambayo humo ina baadhi ya mataifa yenye uwezo kuizidi hiyo Ukraine mara mia.
sasa kwanini hawaingii uwanjani kama wanauwezo kiasi hicho mpka wameiacha ukrein imechakaa
 
Usiseme ilichukua miezi USA na washiriki wake KUMUANGUSHA Saddam
Hayo ni yako
Ila ukweli hao walienda Iraq kwa nia moja kuiba tu ndio ilikuwa mission yao

Waliiba mafuta sana mpaka silaha zilibebwa
Dick Cheney wakati huo akachukua tenda ya ku supply kila kitu kwa majeshi yao
Halliburton ndio kampuni yake na mzee ana hela chafu sana

Yeye ndio alielazimisha waingie vita akimshawishi sana Bush kuivamia Iraq

Walipoingia Iraq I was there
Kama ni wizi jamaa waliiba sana imagine kuna Vito (artefacts) ambazo walibeba wanajeshi wao na archeologists wengi sana waliokuwa wanajua thamani

Hivyo vilikuwa na miaka zaidi ya 3,000

Washenzi wakachimbua mpaka vyungu vya kizamani na kuacha mashimo
Wengi walikuwa wanajua sites hizo na museum zote zilipigwa

Walipitisha kupitia jirani Turkey ambao walikubali wizi ufanyike mpaka dhahabu zote zilipita hapo

London, NY na Paris ndio zilienda sana
Nimeshuhudia maduka London wakiuza tena bila aibu zimeandikwa OG Iraq na Bei zake mpaka £4500 kadogo kanakaa kwenye kiganja tu

Hii vita usiifananishe na ya Ukraine kabisa
Msome Cheney na kampuni yake

IMG_6990.jpg

IMG_6989.png
 
sasa kwanini hawaingii uwanjani kama wanauwezo kiasi hicho mpka wameiacha ukrein imechakaa

Hawana mkataba na Ukraine, vitaifa vyote vidogo vidogo ambavyo vinatishiwa na Urusi hii ndio fursa ya kuingia NATO, ukiwa humo inakua kama imetiwa fensi fulani hivi, Mrusi hawezi kukosea njia.
 
Back
Top Bottom