Ulinganifu wa vita kati ya USA na Iraq dhidi ya vita kati ya Urusi na Ukraine

Ulinganifu wa vita kati ya USA na Iraq dhidi ya vita kati ya Urusi na Ukraine

Hawana mkataba na Ukraine, vitaifa vyote vidogo vidogo ambavyo vinatishiwa na Urusi hii ndio fursa ya kuingia NATO, ukiwa humo inakua kama imetiwa fensi fulani hivi, Mrusi hawezi kukosea njia.
Nato kamwe hawawezi kuisogelea russia izo zote ni kelele za chura nnje ya maji
 
Nato kamwe hawawezi kuisogelea russia izo zote ni kelele za chura nnje ya maji

Asisogelewe kwanini, mwambieni akosee njia, kunao Lithuania, Latvia hayo yote ni mataifa yaliyo ndani ya NATO na yamepakana na Urusi, mbona asijaribu kama anawanyooshea kidole hao.
 
Back
Top Bottom