Hawana mkataba na Ukraine, vitaifa vyote vidogo vidogo ambavyo vinatishiwa na Urusi hii ndio fursa ya kuingia NATO, ukiwa humo inakua kama imetiwa fensi fulani hivi, Mrusi hawezi kukosea njia.
Asisogelewe kwanini, mwambieni akosee njia, kunao Lithuania, Latvia hayo yote ni mataifa yaliyo ndani ya NATO na yamepakana na Urusi, mbona asijaribu kama anawanyooshea kidole hao.