Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Picha ipi mkuu?Picha ya "acheni" au "uongo"?Acheni uongo, weka picha
Picha ipi mkuu?Picha ya "acheni" au "uongo"?Acheni uongo, weka picha
Kama hamna picha hizo taarifa niza kupuuza tuuu🚮🚮Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
Mara kumiNitaokota makopo mara ngapi?
Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
Tukiweka picha utasema ni FAKEAcheni uongo, weka picha
🤣🤣🤣🤣🤣Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
Mcheki mwamba hapo Chini maamaeMara kumi
Weka picha, maana huko ndipo ilipo ruti ya Mzena to LugaloKuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
Dah ile story ya kwenye Bibleangalieni vizuri kitanzi alichomwandalia Lisu asije ingia mwenyewe
Tuna utawala wa kipumbavu mnooKama Ubungo wanalindwa kanisa la Gwajima waumini wasiende kusali kila Jumapili.
Sisi wa Burundi iyo mwenge, ubungo hadi mjini viko nchi gani?Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
Ni uongo nipo hapa Nyirenda hakuna hata mgambo 😄Tuwekee picha tulio Makete.
🤣🤣Weka picha, maana huko ndipo ilipo ruti ya Mzena to Lugalo