Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,466
- 2,285
- Thread starter
- #41
Ni saa saba na nusu. Bado ulinzi wa kutosha
Ngumi sio mbaya, watakunywa Panadol, rosasi ndo hatariMagogoni ngumi zinalika
Sitayari tumeshatawaliwaKama ni juu ya huyo mzanzibar basi akafie mbali,hafai kabisa kuwa mtawara wa Tanganyika,na hapa CCM lazima wakubaliane na hoja ya serikali tatu au kuvunja muungano,kuna siku Tanganyika itatawaliwa na waarabu wa Oman
Samia qmetokea wapi tena mkuu? Kwa nini unahofia usalama wake kwa hawa mapolisi?Acheni uzushi, samia yupo salama na salimini..