Ulinzi mkali Dar. Ni kama na leo kuna kesi ya Lissu. Kinachojiri ni nini

Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
Kama hamna picha hizo taarifa niza kupuuza tuuu🚮🚮
 
Kama ni juu ya huyo mzanzibar basi akafie mbali,hafai kabisa kuwa mtawara wa Tanganyika,na hapa CCM lazima wakubaliane na hoja ya serikali tatu au kuvunja muungano,kuna siku Tanganyika itatawaliwa na waarabu wa Oman
 
Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
Sisi wa Burundi iyo mwenge, ubungo hadi mjini viko nchi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…