Mahakama ya Kisutu kumezuka mtindo unaoashiria ubaguzi kwa kesi zinazowahusu wafuasi ama viongozi wa dini ya Kiislam.Siku za karibuni, tumeshuhudia matumizi ya gharama kubwa zisizo na sababu kwa kesi za waislam kama vile ya Sheikh Ponda na Watuhumiwa wa Fujo Mbagala.
Siku za kesi husika, watu wote wanaongia Mahakamani Kusutu wanakaguliwa kwa kutumiwa kamera za CCTV, pia ulinzi wa askari wenye magwanda na makachero unakuwa mkubwa.
Hali ilikuwa tofauti wakati wa kuendesha kesi za viongozi wa dini ya Kikristo, mfano Mchungaji Mtikila na Padre Kimaro (Kesi ya Ubakaji mtoto wa Kanisa).
Hali hii isifumbiwe macho ipo siku itakuja leta machafuko nchini mwetu kwa uonevu wa waislam katika vyombo vya dola ambayo vinagharamiwa na kodi ya wananchi wote. Ikumbukwe kabla ya hukumu wote huwa ni watuhumiwa, lakini nchini mwetu watuhumiwa wa Kiislam wanachukuliwa tofauti. Twaomba katiba mpya itanbue mahakama ya kadhi, ili tuepukane na uonevu unaombatana na MOU
Acha mambo ya kizamani, kwa hiyo na ukinyang'anywa suruali umwachie na chupi kabisa au?Vipi ndugu yetu umetoka mbingu gani? Inaonyesha umesahau. Ponda kama Ponda yuko katika ulinzi tangu anaamka kuja mahakamani. Tatizo nyie wafuasi wake ambao mmekuwa mkisema liwalo na liwe, lazima kieleweke lengo mkitaka Ponda aachiwe kwa dhamana. Dhamana ina masharti kama kesi yako inastahili dhamana basi fuata masharti kama haina dhamana basi subiri proceedings hadi hukumu haki ifuate mkondo wako. Nadhani nimekujibu bila jazba wala matusi nategemea hata wewe utakuwa muungwana kufuata nyayo zangu.
Ukipigwa "KOFI upande wa Kushoto mgeuzie upande wa KULIA pia, Ukinyang'anywa KOTI mwachie na SHATI" Usilipize KISASI.
Hapa kweli dini imedhalilishwa sana.
Mahakama ya Kisutu kumezuka mtindo unaoashiria ubaguzi kwa kesi zinazowahusu wafuasi ama viongozi wa dini ya Kiislam.Siku za karibuni, tumeshuhudia matumizi ya gharama kubwa zisizo na sababu kwa kesi za waislam kama vile ya Sheikh Ponda na Watuhumiwa wa Fujo Mbagala.
Siku za kesi husika, watu wote wanaongia Mahakamani Kusutu wanakaguliwa kwa kutumiwa kamera za CCTV, pia ulinzi wa askari wenye magwanda na makachero unakuwa mkubwa.
Hali ilikuwa tofauti wakati wa kuendesha kesi za viongozi wa dini ya Kikristo, mfano Mchungaji Mtikila na Padre Kimaro (Kesi ya Ubakaji mtoto wa Kanisa).
Hali hii isifumbiwe macho ipo siku itakuja leta machafuko nchini mwetu kwa uonevu wa waislam katika vyombo vya dola ambayo vinagharamiwa na kodi ya wananchi wote. Ikumbukwe kabla ya hukumu wote huwa ni watuhumiwa, lakini nchini mwetu watuhumiwa wa Kiislam wanachukuliwa tofauti. Twaomba katiba mpya itanbue mahakama ya kadhi, ili tuepukane na uonevu unaombatana na MOU
Hapa kweli dini imedhalilishwa sana.
Hapa kweli dini imedhalilishwa sana.
Aliyeidhalilisha dini ni yule aliyefanya mambo ya kijinga kwa mwavuli wa hiyo dini, na yeye aliyeshangilia ujinga ule.
Wahuni wamevunja makanisa, wakikamatwa=waislam wanadhalilishwa.
Kagua busha mama. Mkague na cha-cha-cha zake
Hivi ni ugaidi au uisilamu? Nadhani dunia ina tatizo la uisilamuKwani wewe hujui tatizo la ugaidi hapa duniani?