Ulinzi uliopo Israel ni mkubwa kuliko taifa lolote duniani

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Tumeonya Sana, tumehubiri Sana, tumeshuhudia sana kuhusu Vita zinazoendelea ya middle East.

Viongozi na watu mbalimbali wameonywa Sana kuhusu taifa LA Israel. Mpango wa Mungu kuhusu Israel lazima ukamilike.

Ahadi ya Mungu kuhusu Israel lazima ikamilike. Biblia imesema waziwazi kwamba wa Israel Wataokolewa na Yesu Mwenyewe hapo siku za usoni. (Warumi 11:26). Waisrael wote watamuamini Yesu kipindi cha utawala wa serikali moja ya dunia.

Kwa hiyo Ulinzi uliopo pale ni mkubwa mno, Mungu Mwenyewe anahusika na huu Ulinzi.

Vilevile Mungu hutumia wanadamu kulilinda hili taifa. Nchi za ulaya, USA nazo Zinatumika. Kanisa la Mungu duniani nalo hutumika kwa maombi ya Watakatifu. Kwa hiyo adui sio rahisi kupenya pale.
 
Tumeonya Sana, tumehubiri Sana, tumeshuhudia sana kuhusu Vita zinazoendelea ya middle East...
Kwahiyo kwa akili zako kwamba haya mashambulio anayoyapa sasahivi kutoka lebanon hadi kupigwa kwenye kambi yake ya jeshi , na iran kupiga kombora zake hadi kwenye makazi yake ,kwa maelezo yako mungu alikuwa amelala? Acha kumuingiza mungu kwenye ujinga wenu
 
israel tuko vizuriiii....mwarab ni uharo tuuu mbele ya myahudiii...vivaa nyahuu...
 
Wewe ni mtumwa mwema na Mwana kondoo halisi.
 
Utumwa wa kifikra upo juu sana kwa waafrika wenzenu wanatumia maandiko ya vitabu vitakatifu kwa maslah yao binafsi then unakuja wewe mtu mweusi unasapport jambo wanalofanya wale jamaa hakuna kitabu cha dini kilichowahi kufundisha.
 
Israel ni nani kwani?
 
Ngoja mbuzi wa Mtume waje kukujibu, maana wanasema ninyi ni kondoo tu! 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…