ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Tumeonya Sana, tumehubiri Sana, tumeshuhudia sana kuhusu Vita zinazoendelea ya middle East.
Viongozi na watu mbalimbali wameonywa Sana kuhusu taifa LA Israel. Mpango wa Mungu kuhusu Israel lazima ukamilike.
Ahadi ya Mungu kuhusu Israel lazima ikamilike. Biblia imesema waziwazi kwamba wa Israel Wataokolewa na Yesu Mwenyewe hapo siku za usoni. (Warumi 11:26). Waisrael wote watamuamini Yesu kipindi cha utawala wa serikali moja ya dunia.
Kwa hiyo Ulinzi uliopo pale ni mkubwa mno, Mungu Mwenyewe anahusika na huu Ulinzi.
Vilevile Mungu hutumia wanadamu kulilinda hili taifa. Nchi za ulaya, USA nazo Zinatumika. Kanisa la Mungu duniani nalo hutumika kwa maombi ya Watakatifu. Kwa hiyo adui sio rahisi kupenya pale.