Ulinzi wa Kagame, mbona hana Mwanajeshi nyuma?

Hiyo ni sheria za nchi...kwa yule mlinzi mwenye sale za jeshi ni symbol ya kuonyesha a president of this country is a commander in chief as stipulated in a constitution of united republic of Tanzania 1977
 
Reactions: dtj
Mkuu nakukubali sa
 

Je, Obama alipokuja hapa alipewa mpambe wa TPDF ? Vipi alipokuja Bush naye alipewa mpambe wa TPDF nauliza tu jamani....haya ni mambo ya protokali ...yana maana yake...ila nakumbuka alipokuja Papa John Paul II miaka ile ya 90 mpambe wa Pope alikuwa Major Gaudence Milanzi (sina hakika sana kama wakati huo alikuwa ni Meja au Luteni Kanali) ambaye sasa ni Meja jenerali na ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mali Asili...
 
Hii ya Museveni naomba picha tafadhali.
 
Eti eeeh

Wanaojua...huwa hawaji na...lawama...hata wanaojua bado hujielimisha

Be humble
Asallaleh!

Kwa hiyo kwa kujifanya unajua protikali ya Kagame kutosimamiwa na mwanajeshi mtanzania ndo wapanga shughuli za kitaifa wanajifunza kutoka kwako???

Ama kweli siasa haitakuacha salama.
 
Asallaleh!

Kwa hiyo kwa kujifanya unajua protikali ya Kagame kutosimamiwa na mwanajeshi mtanzania ndo wapanga shughuli za kitaifa wanajifunza kutoka kwako???

Ama kweli siasa haitakuacha salama.
Hapa tunajadiliana
Hatumpangii mtu
Dont take it personal
 
Reactions: dtj
Marekani hata akiwa kwao hana aide de camp zaidi ya secret service na Segent on...duty anayebeba " black ball"
Kweli wewe Legend ....old...time ...nakumbuka ujio wa papa alitembelea Dar,moshi ,mwanza na songea kama...nakumbuka
Mimi nilikua Mwanza ....Bugando...
 
Hapa tunajadiliana
Hatumpangii mtu
Dont take it personal
Am worried of you brother. Kama tutaacha mambo yaende kama ulivyofanya really ni tatizo. Huwa hakuna moja kujumlisha moja katika mpangilio wa sherehe na dhifa za kitaifa na kila shughuli ina mpangilio kutokana na mahitajio ya ugeni.

Tukijifanya tunajua kila kitu na kuleta maoni yetu tukiwalazimisha wanaopanga na walioko kwenye ground kufuata tunachofikiri ni tatizo zaidi, tukijifanya kuwa werevu tukaja na mawazo yetu, kisha tusifanye hata utafiti tukayaleta katika jamii eti tunajadiliana sijui kama tutakuwa tunajadiliana maswala sahihi.

Kwanza walioko kwenye ground wanajua kinachoendelea zaidi ya kile tunachofikiri tutajadili. Halafu tumeona tu na kufikiri tuko sahihi tukakimbia kuja hapa kujadili. Tunajadili ili kuwarekebisha watendaji au tunajadili kujifurahisha???


Do I take it personal kuhoji aina ya mjadala uliouanzisha? Je, si kwamba ninajadili kile ambacho wewe unataka tuwaelekeze walioko kwenye upangaji wakati hatujui kulikuwa na conditions zipi wakati wanapanga walichopanga?

Je, ni sahihi kuleta kwenye kadamnasi picha mbili kudhibitisha kuwa kuna kitu kilikosewa au hakiendi sawa? Je, ni kwa vile tuna mfumo fulani wa kuwapokea wageni tunaoufuata na ambao jamii imeaminishwa kisha haukufuatwa ndo ni sababu ya wewe kuuleta hapa tuujadili?
 
Huu ndio Mpangilio (formation) rasmi ya aide de camps wakati Ziara ya Kikazi(official or working visit)

Sare: Aide de camps wanavaa sare za kawaida za utawala bila tai na mikono mifupi

Mpangilio: host anakuwa directly nyuma yake ...na aide wake anakuwapo karibu kusaidia

Huu mpangilio...ni maarufu nchi za Commonwealth hasa za Kiafrika ...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…