28 yrz wife 25,tupo mwaka wa kumi with 3 kids,namshukuru Mungu kwa hili.
Juzi weekend nilikuwa namtania namwambia tumeshatoboa sisi ni wa kufa na kuzikana alifurahi sana maana yeye ndiye aliyetengeneza mazingira ya ndoa sikuwa tayari wakati huo but leo (japo sijawahi kumwambia na sitakaa nimwambie kwa sababu zangu binafsi) namshukuru kama siyo yeye kuna vitu naona kabisa nisingekuwa navyo.
Vijana oeni,maisha ni haya haya kila mtu ameandikiwa kikombe chake cha mwenzako hutakinywa na yeye chako hatakinywa msi-copy matukio ya ndoa mkayafananisha huko ni kudanganyana.