Ulioa au kuolewa ukiwa na umri gani?

Ulioa au kuolewa ukiwa na umri gani?

Ndoa ni kitu kizuri ukipata mnayeweza kubebeana mapungufu. Kinyume na hapo ndoa ni gereza... nyie mlio kwenye ndo endapo miaka ikirudishwa nyuma hadi ile siku unaamua kuoa/kuolewa utarudia kufanya uamuzi wa kuoa/kuolewa?
 
29 , gentleman. Still single. Degree holder in Accounting and Finance From. moshi cooperative university , looking for any matured lady , under 27 years of age for marriage.........................
Huko chuo hukusoma na Ladies?
 
It supposed to be 28 but after 4 months she proved me wrong, I canceled all sh*t and i did postpone even to look for others, maybe till i forget the 'what's wrong with women? ' (don't know when)
mi nasaka mahela
 
Sijui kama nitakuja kuoa kwenye maisha yangu maana kumsimamisha tu msichana barabarani nikazungumza nae mtihani, nimewahi kuwa na relationship moya tu na yenyewe nilitongozewa,, yaani kwa kifupi mm ni domo zege promax [emoji23][emoji23]
Yaaani nimecheeeeeka[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Watu wote JF wameoa na kuolewa Uzur watu wa JF wanaendana na Uzi wako unavotaka, ukileta Uzi wa utajir watu wote JF n matajir ukirud kweny ndiga humu wote wana ndinga

Yan thread inavoenda ndo watu wanaend nayo ivo ivo [emoji23]
🤣🤣🤣
 
Nikiwa na Miaka 23 baada ya kumtundika mtoto wa watu mimba, kimbembe kile sitakuja kusahau. Mungu mkubwa wife niponae mpaka sasa
 
Back
Top Bottom