Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Yaani hiyoo emoji Ina nivuruga🤒😜😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hiyoo emoji Ina nivuruga🤒😜😀
Ndo hivyo hata JF kuna mashoga wengi sanaKwanini iwe asilimia 100% wee jamaa mkorofi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukweli mchungu ambao wengi hawapendi kuusikia.Asilimia 100 ya kataa ndoa ni
Mashoga
Wenye dalili za ushoga
Mahanithi
Tasa/Wagumba
Huko ndo tucomment auLove connect
Duh, hapa ukigonga 30 ndoa ushaichoka, hasa kama ina karaha kuliko raha.
Umenishawishi na 30 yangu mabegani...28 yrz wife 25 tupo mwaka wa kumi with 3 kids,tuna jumla ya miaka 18 ya kimahusiano.humo mna miaka ya uvulana na usichana na miaka ya mahusiano serious kisha kumi ya ndoa na familia,namshukuru Mungu kwa hili.
Juzi weekend nilikuwa namtania wife namwambia tumeshatoboa sisi ni wa kufa na kuzikana alifurahi sana maana yeye ndiye aliyetengeneza mazingira ya ndoa sikuwa tayari wakati huo but leo (japo sijawahi kumwambia na sitakaa nimwambie kwa sababu zangu binafsi) namshukuru kama siyo yeye kuna vitu naona kabisa nisingekuwa navyo.
Vijana oeni,maisha ni haya haya kila mtu ameandikiwa kikombe chake cha mwenzako hutakinywa na yeye chako hatakinywa msi-copy matukio ya ndoa mkayafananisha huko ni kudanganyana.
Same here, 2014 ndio nikazama kundini, mimi 3x, wife 2x..tofauti ya 4yrs.2014
Mimi miaka X
Binti 28
Furaha na Aman Tele ,mwakani Anniversary, 10 yrs
Nashukuru mume wangu hajanipa stress na Mimi sijampa stress.Duh, hapa ukigonga 30 ndoa ushaichoka, hasa kama ina karaha kuliko raha.
Safi sana ulimpata wapi?28 yrz wife 25 with 3 kids,tupo mwaka wa kumi.
Juzi weekend nilikuwa namtania namwambia tumeshatoboa sisi ni wa kufa na kuzikana alifurahi sana maana yeye ndiye aliyetengeneza mazingira ya ndoa sikuwa tayari wakati huo but leo (japo sijawahi kumwambia na sitakaa nimwambie kwa sababu zangu binafsi) namshukuru kama siyo yeye kuna vitu naona kabisa nisingekuwa navyo.
Vijana oeni,maisha ni haya haya kila mtu ameandikiwa kikombe chake cha mwenzako hutakinywa na yeye chako hatakinywa msi-copy matukio ya ndoa mkafananisha huko ni kudanganyana.
Kwani siku hizi mke anaruhusiwa kuolewa na waume zaidi ya 2??Mimi niliona mke sabuni nikiwa na umri wa miaka 14
Imekaa vizuri mkuu.Nashukuru mume wangu hajanipa stress na Mimi sijampa stress.