Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani?

Kwema wakuu!
  • Uliweza kupata milioni moja (Tsh 1,000,000) yako ya kwanza ukiwa na umri gani?
  • Ulifanya kazi gani,uliuza nini ukaipata?
  • Unaweza pia kushare uliitumiaje?
Cc: Mshangazi dot com | Demi | Red black | Half american
Nilipata mwaka, 1996nikiwa na miaka26 nikiwa sales man, nilipata ya uhamisho Dodoma _Mbeya! Niliinywea farujohn! Naijutia hadi Leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…