Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani?

Usinikumbushe machungu bana..
Niliwahi kupata milioni 22 kama miaka 8 hivi iliyopita na sikuifanyia chochote cha maana.
pole Sana, ila naku elewa Sana maana mdogo wangu nae ali lamba kibunda kizuri.

aka ishia kuitwa boss na wapambe, full kujaza nguo, perfume na viatu kwenye kabati.

bila familia, yule mbwa ange juta.
 
Nilizitumia tu kwa matumizi ya kawaida. Kiasi kidogo nikainvest kwenye biashara flani hivi na yenyewe nikala hasara.
Sema pesa za mwanzo mwanzo huwa zinakawaida hiyo, zinakuja zinakufanya uwe huru kufanya yale yote ambayo ulikua umepania kuyafanya pindi ukipata pesa then zinaondoka zinakuacha na ayaaaaaaa😂😂😂, zinapotea kwa muda but zikirudi tena zinakukuta uko fit na unaelewa namna ya kuzihandle.
 
Nazisubiri zirudi sioni hata dalili😀
 
Nazisubiri zirudi sioni hata dalili😀
Zitarudi mkuu, zinaweza zisirudi kwa mara moja ila kidogo kidogo ila zinakua na athari fulani chanya tofauti na zile nyingi.

Kuna utofauti mkubwa kati ya kuwa na pesa fulani nene ila zinadumu kwa muda mfupi na pesa fulani nyembaba ila ndefuuuuuu hazina ukomo😅😅😅

Sasa wewe ulipiga pesa fulani nene ila zilikua fupi, but now utakua unapiga pesa fulani nyembaba ila ndefuuuuu.
 
Dah iwe hivyo basi maana mmh hali si hali
 
Back
Top Bottom