Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Hahaha dagaa mteke🤣🤣Katia vinyanya kitunguu kavu kavuIla dagaa wabichi ni watamu,unawachemsha unaweka pilipil na chumvi tu.
Mara ya mwisho sikumbuki nilikula lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha dagaa mteke🤣🤣Katia vinyanya kitunguu kavu kavuIla dagaa wabichi ni watamu,unawachemsha unaweka pilipil na chumvi tu.
Mara ya mwisho sikumbuki nilikula lini?
Mkuu si kweli hii [emoji849]Dah!! Dagaa, usinikumbushe. [emoji1787][emoji23]
Nacheka kama mazuri ila inasikitisha.
Siku moja katika harakati zangu, nilikuwa naenda nje ya mji kidogo(shamba)
Nikafika center kuchukua mazaga zaga, nikakuta maza mmoja(mshua saana, kuanzia ngozi, na kila kitu) alikuwa na mtoto mdogo,
Wakati naendelea kuchukua zaga zaga pale...
Muuzaji alikuwa anakula ugali dagaa, si ndio yule dogo kuropoka..
"Mama muone huyu anakula chakula cha mbwa"
.. dah! Nilijisikia fedheha as if mimi ndio muuza genge.
Bimkubwa akajidai kumpotezea mtoto ndio kamganda mama yake anamtikisa, mama muone huyu anakula chakula cha mbwa..
Bimkubwa ikabidi aombe radhi pale.
Tuma picha wakiwa wameanikwa. Hakuna dagaa anayevuliwa akiwa na mchanga, process za kumuandaa ndo husababisha mchanga. Angalia size ya dagaa wa z. Tanganyika na wa victoria. Mdogo ni rahisi kufunikwa na mchangaMbn wakigoma huanikwa ktk mchanga na hawana mchanga
😆😆Tuma picha wakiwa wameanikwa. Hakuna dagaa anayevuliwa akiwa na mchanga, process za kumuandaa ndo husababisha mchanga. Angalia size ya dagaa wa z. Tanganyika na wa victoria. Mdogo ni rahisi kufunikwa na mchanga
😆😆Shida ni uaminifu wa kukutumia pesa ndio uanze kutuma mzigo wa dagaa
Nasubiria dangaa wa Zanzibar nikupeni bei yake
Upo wapi?!! Toa bei tafadhaliNasubiria dangaa wa Zanzibar nikupeni bei yake
😆😆🙄Upo wapi?!! Toa bei tafadhali
Habari wakuu,
Kwa wale wapambanaji wenye interest na biashara ya dagaa tunaweza kufanya biashara mimi sasa nipo kisiwa cha GOZIBA bei ya dagaa kwa sasa kwa gunia la dumu kumi ni 180000 mpaka 190000 leo zilifika mpaka 200k kwa gunia.
Dagaa ni nzuri sana sasa hivi mimi nauzia mwanza, kwa wale mlioko mikoani, Mbeya, Arusha, Morogoro, Kigoma, Dar es Salaam na Wilaya za Bariadi, Silali na Kahama huko bei zikoje? kama zinalipa tufanye biashara. mkuu weka namb y cm tkutafte