Ulipo bei ya dagaa sh ngapi?

Ulipo bei ya dagaa sh ngapi?

Dah!! Dagaa, usinikumbushe. [emoji1787][emoji23]

Nacheka kama mazuri ila inasikitisha.

Siku moja katika harakati zangu, nilikuwa naenda nje ya mji kidogo(shamba)
Nikafika center kuchukua mazaga zaga, nikakuta maza mmoja(mshua saana, kuanzia ngozi, na kila kitu) alikuwa na mtoto mdogo,
Wakati naendelea kuchukua zaga zaga pale...
Muuzaji alikuwa anakula ugali dagaa, si ndio yule dogo kuropoka..
"Mama muone huyu anakula chakula cha mbwa"
.. dah! Nilijisikia fedheha as if mimi ndio muuza genge.
Bimkubwa akajidai kumpotezea mtoto ndio kamganda mama yake anamtikisa, mama muone huyu anakula chakula cha mbwa..
Bimkubwa ikabidi aombe radhi pale.
Mkuu si kweli hii [emoji849]
 
Mbn wakigoma huanikwa ktk mchanga na hawana mchanga
Tuma picha wakiwa wameanikwa. Hakuna dagaa anayevuliwa akiwa na mchanga, process za kumuandaa ndo husababisha mchanga. Angalia size ya dagaa wa z. Tanganyika na wa victoria. Mdogo ni rahisi kufunikwa na mchanga
 
Tuma picha wakiwa wameanikwa. Hakuna dagaa anayevuliwa akiwa na mchanga, process za kumuandaa ndo husababisha mchanga. Angalia size ya dagaa wa z. Tanganyika na wa victoria. Mdogo ni rahisi kufunikwa na mchanga
😆😆
 
Shida ni uaminifu wa kukutumia pesa ndio uanze kutuma mzigo wa dagaa
 
Habari wakuu,

Kwa wale wapambanaji wenye interest na biashara ya dagaa tunaweza kufanya biashara mimi sasa nipo kisiwa cha GOZIBA bei ya dagaa kwa sasa kwa gunia la dumu kumi ni 180000 mpaka 190000 leo zilifika mpaka 200k kwa gunia.

Dagaa ni nzuri sana sasa hivi mimi nauzia mwanza, kwa wale mlioko mikoani, Mbeya, Arusha, Morogoro, Kigoma, Dar es Salaam na Wilaya za Bariadi, Silali na Kahama huko bei zikoje? kama zinalipa tufanye biashara. mkuu weka namb y cm tkutafte
 
Back
Top Bottom