Ulipo kuna umeme muda huu?

Mwanzo ilikuwa ukikatika tunaambiwa ni matengenezo/service ambayo hayskufanyika kwa miaka mitano.

Chorus imebadilika imekuwa hitilafu,hayo matengenezo si tuliambiwa ndiyo muarobaini wa katikakatika!

Hii wizara haihitaji propaganda,muda utakuumbua tu.
 
Hakuna.....Katiba Mpya haileti umeme- dpw
 

Leo umeme changamoto yani unawaka na kuzima aisee hii nchi changamoto sana.
 
Hakuna hadi sasa haujarudishwa. Huenda umeshauzwa kwa DPW🙊
 
Nipo.buswelu mwanza hakuna umeme
Kumbe we jirani yangu kabisa wewe hapa Buswelu ,mi mkazi wa Wilayani hapa Buswelu , halafu hawa wapuuzi mbona hawajatoa maji wiki ya pili huku ? ,Tatizo nini aisee ?,maji ya shida buswelu halafu ziwa liko hapo chini tu Igombe ? ,Na tank la maji wameshamaliza hapa Wilayani ,
Hii nchi ni ya kipumbavu sana , yaani Mwanza hii ndio ya watu kulia shida ya maji ? ,
Hii ni laana sio siri .
 
Shy hakuna
 
Niko kifuru hapa umekata kama masaa mawili hivi yaloisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…