Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Sijajua miaka hii, ila kipindi naskilizaga taarifa ya habari redioni ilikua badoHata najua basi 😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajua miaka hii, ila kipindi naskilizaga taarifa ya habari redioni ilikua badoHata najua basi 😀😀
Itakua labda bado 😃😃Sijajua miaka hii, ila kipindi naskilizaga taarifa ya habari redioni ilikua bado
dah unakaa pazuri kweli, buchani kabisaTabata, DSM. HAKUNA
hahahahahaChai.
Hao jamaa ukiwaona tu unajua vifaa vimepata mteja.
Hakuna.....Katiba Mpya haileti umeme- dpwNauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Pia soma;
TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II. “Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...www.jamiiforums.com
dah unakaa pazuri kweli, buchani kabisa
Nauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Pia soma;
TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II. “Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...www.jamiiforums.com
Hakuna hadi sasa haujarudishwa. Huenda umeshauzwa kwa DPW🙊Nauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Pia soma;
TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II. “Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...www.jamiiforums.com
Kumbe we jirani yangu kabisa wewe hapa Buswelu ,mi mkazi wa Wilayani hapa Buswelu , halafu hawa wapuuzi mbona hawajatoa maji wiki ya pili huku ? ,Tatizo nini aisee ?,maji ya shida buswelu halafu ziwa liko hapo chini tu Igombe ? ,Na tank la maji wameshamaliza hapa Wilayani ,Nipo.buswelu mwanza hakuna umeme
Shy hakunaNauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Pia soma;
TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II. “Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...www.jamiiforums.com
Niko kifuru hapa umekata kama masaa mawili hivi yaloishaNauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.