Ulipo kuna umeme muda huu?

Ataongeza mishahara mwishoni mwa mwezi wa nane ila kaongeza kodi ya jengo mwanzoni mwa mwezi wa nane, nani kama mama?
 
HIVI GAS YA NTWARAAA INAFANYA KAZI GANI????
 
Aliyekata umeme aongezewe msharaha umeme kwa Tz ni anasa cc: CCM
 
Tafuta mikataba ya gesi ya Mtwara halafu uone kama dini iingilie serikali au tuiachie serikali ifanye inavyotaka.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€daah tena alikuwepo yule mzee aiseee sidhani kama kuna kitu tunapataaa
 
sasa baadae utarud ama tuchaji simu zetu kwa majenereta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…