Ulipo kuna umeme muda huu?

Aisee tupo kama tumelogwa vile..

Mafala mafala kabisa...yaani Mwanza na yenyewe inakuwa na shida ya maji..
 
Umerudi Sasa HV nilikuwa nawaza dodoma bila umem watu wataishije mnk hakun bomba limetoa maji siku mbili mfululizo
 
Wakazi wa buswelu wengi wana visima mm pia kwangu nimechimba kisima kina maji mengi tu mwaka.mzima so sijavuta maji bado nafikiria, umeme nao nimevuta ila wiring bado so kuna wiring ya solar ndo natumia inanipa kila kitu so tanesco natumia kunyosha na kuwasha fridge tu wao wakate umeme wanavyoj7a mm sina habari kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…