Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Tutakoma au tushakoma!!!!?Mtakoma
Maji pia sasa changamoto. Sijui tutachambia nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakoma au tushakoma!!!!?Mtakoma
Hata Chuga mpk sasa bila bila....Huku niliko mpaka sasa gizaa
Tatizo hili tayariHata Chuga mpk sasa bila bila....
Aisee tupo kama tumelogwa vile..Kumbe we jirani yangu kabisa wewe hapa Buswelu ,mi mkazi wa Wilayani hapa Buswelu , halafu hawa wapuuzi mbona hawajatoa maji wiki ya pili huku ? ,Tatizo nini aisee ?,maji ya shida buswelu halafu ziwa liko hapo chini tu Igombe ? ,Na tank la maji wameshamaliza hapa Wilayani ,
Hii nchi ni ya kipumbavu sana , yaani Mwanza hii ndio ya watu kulia shida ya maji ? ,
Hii ni laana sio siri .
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] mmechaji wapi simu zenu?Mna bahat wengine tumelala Giza
Hata Chuga mpk sasa bila bila....
Huwa nachaj usiku had usiku Tena, Natumia kutwanzima[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] mmechaji wapi simu zenu?
Wakazi wa buswelu wengi wana visima mm pia kwangu nimechimba kisima kina maji mengi tu mwaka.mzima so sijavuta maji bado nafikiria, umeme nao nimevuta ila wiring bado so kuna wiring ya solar ndo natumia inanipa kila kitu so tanesco natumia kunyosha na kuwasha fridge tu wao wakate umeme wanavyoj7a mm sina habari kabisaKumbe we jirani yangu kabisa wewe hapa Buswelu ,mi mkazi wa Wilayani hapa Buswelu , halafu hawa wapuuzi mbona hawajatoa maji wiki ya pili huku ? ,Tatizo nini aisee ?,maji ya shida buswelu halafu ziwa liko hapo chini tu Igombe ? ,Na tank la maji wameshamaliza hapa Wilayani ,
Hii nchi ni ya kipumbavu sana , yaani Mwanza hii ndio ya watu kulia shida ya maji ? ,
Hii ni laana sio siri .
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] mmechaji wapi simu zenu?
Hakika hakunaAmeleta mgao wa umeme, nani kama mama?
Dah sisi watumiaji wa infinix za zamani tukiwasha data tu masaa yetu ni nane mpaka tisa tu chaji kwishaa [emoji16]Simu zinakaa na chaj 48Hrs