Ulipo kuna umeme muda huu?

Ulipo kuna umeme muda huu?

Intact tumeshindwa kuongoza vyema shirika hili ,kutafuta GIANT COMPANY ZENYE EXPRIENCE KUBWA SI DHAMBI.
TASISI USIKA ZILIONE HILI TUMECHELEWA KWELI,HAKUNA MUDA WA KUSUBIRI NA DUNIA INAKWENDA KASI KWELI.
Miaka 60 ya uhuru hata suala la maji tu na umeme limeshindikana kuwa la uhakika, malimbikizo yote ya kodi yameelekezwa kuboresha maslahi na maisha bora kwa viongozi wa ngazi za juu za kisiasa.
Kwenda kuzindua madara ma 3 ya million 30 wanaenda na msafara magari 10+ kila gari moja million 400
 
Umeme unachukua muda gani kufika songea au mbeya?? Maana hitilafu imetokea ubungo, ina maana hadi songea umeshakatika.. Nilifikiri labda songea labda utakata baada ya masaa matano... Au umeme nao ni speed ya mwanga..
 
Nauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.

Je ulipo wewe umeme upo?

Pia soma;

Badala ya kuuza bandari Bi mkubwa bora angeiuza hii TANESCO kwa waarabu milele. Hii hata ikiuzwa leo hakuna atakayelalamika wala kuandamana.
 
IMG-20230822-WA0038.jpg
 
Back
Top Bottom