Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah[emoji23][emoji23]...basi sawa
Nashukuru nimeamka vyema [emoji2960]
Nimepoa nashukuru kwakweli sijazoea heka heka zilePole sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Miaka 60 ya uhuru hata suala la maji tu na umeme limeshindikana kuwa la uhakika, malimbikizo yote ya kodi yameelekezwa kuboresha maslahi na maisha bora kwa viongozi wa ngazi za juu za kisiasa.Intact tumeshindwa kuongoza vyema shirika hili ,kutafuta GIANT COMPANY ZENYE EXPRIENCE KUBWA SI DHAMBI.
TASISI USIKA ZILIONE HILI TUMECHELEWA KWELI,HAKUNA MUDA WA KUSUBIRI NA DUNIA INAKWENDA KASI KWELI.
Badala ya kuuza bandari Bi mkubwa bora angeiuza hii TANESCO kwa waarabu milele. Hii hata ikiuzwa leo hakuna atakayelalamika wala kuandamana.Nauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Pia soma;
TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II. “Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...www.jamiiforums.com
Lodge gani hiyo chiefLodge hakuna hapa umeme
Nimepoa nashukuru kwakweli sijazoea heka heka zile
usinitag bana😂 acha makusudiInakufikia popote ulipo
mshamba_hachekwi anapata wivu
Vip ulipo umeme up?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wangekula nyama jana