Ulipo kuna umeme muda huu?

Ulipo kuna umeme muda huu?

Taifa lenye miaka 62 ya uhuru wa kujitawala lenyewe bado halijitoshelezi umeme wa kutosha licha ya uwepo wa vyanzo vingi vya kuweza kuzalisha umeme huo.

Umeme mgao, maji mgao, miundombinu duni, huduma zingine za kuunga unga tu.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
Bwawa la MWL Nyerere linakaribia ujenzi unakaribia kukamilika, tutakuwa na umeme wa uhakika, tunataka tuuze mpaka South Africa. Muwe wavumilivu ni swala la muda.
 
TANESCO tatizo nini?
Nauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.

Je ulipo wewe umeme upo?

Pia soma;


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes naonaga bora bei ya kununulia umeme per UNIT iwe juu lakn umeme usikate.
 
Back
Top Bottom