Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Sawa kabisa.
Ngoja waje tuwasikilize.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisa.
Eee ndo nakofundishia,Niko mpigamiti primary schoolNdio unaishi huko?
🤣🤣🤣🤣 alooodah unakaa pazuri kweli, buchani kabisa
Bwawa la MWL Nyerere linakaribia ujenzi unakaribia kukamilika, tutakuwa na umeme wa uhakika, tunataka tuuze mpaka South Africa. Muwe wavumilivu ni swala la muda.Taifa lenye miaka 62 ya uhuru wa kujitawala lenyewe bado halijitoshelezi umeme wa kutosha licha ya uwepo wa vyanzo vingi vya kuweza kuzalisha umeme huo.
Umeme mgao, maji mgao, miundombinu duni, huduma zingine za kuunga unga tu.
Uafrika hasa utanzania ni laana.
Nauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Pia soma;
TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II. “Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...www.jamiiforums.com
Mnunue majenereta tuHakuna. Sasa sijui tukifika mwezi wa 11 huko itakuwaje. Hali ni mbaya sana
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Mimi na ki s7 edge changu hapa kinanipeleka puta balaa nakaribia kuleft groupHakuna watu wanaolinga mda huu kama team infinix maana kwa kutunza chaji waku vizuri..
Wale wa Samsung kazi ipo[emoji1787][emoji1787]
Mimi na ki s7 edge changu hapa kinanipeleka puta balaa nakaribia kuleft groupHakuna watu wanaolinga mda huu kama team infinix maana kwa kutunza chaji waku vizuri..
Wale wa Samsung kazi ipo[emoji1787][emoji1787]
Ilienda sehemu bandari inapotaka kwenda.HIVI GAS YA NTWARAAA INAFANYA KAZI GANI????