Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Dsm hakuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuulize swali hali hii imekuwa inajirudia rudia au?
Nimeshindwa kufanya maokoto kisa umeme haupoNauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Pia soma;
TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II. “Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...www.jamiiforums.com
Wapi huko nije nichaji PC yangu.Huku bado upo mkuu[emoji23][emoji23]
Kisasa upo mida hii unabeep!COMENT ulipo kama kuna Umeme Tuje kuchaji simu.
Dodoma mjini, kikuyu, ng'ong'ona, Udom kote leo pangu pakavu hakuna umeme tangu Asubuhi tena bila taarifa.
Kipara anaupiga mwingi leo sisi wa kutegemea umeme ili tule tutakula tulikopeleka mboga.
Cc Zero IQ.
Songea mkuu, karibu sana 🙃🙃Wapi huko nije nichaji PC yangu.
Niko off leo halafu umeme hakuna[emoji45][emoji45]
Songea mitaa ipi.Songea mkuu, karibu sana [emoji854][emoji854]
Bombambili mkuu,,,..halafu huko chidumulo mbona sikujui🧐Songea mitaa ipi.
Niko hapa chidumulo
Mnaishi wapi mnapendelewa hapa muda wote nimewasha taa maana simu inakata charge na utumbo niliokuwa nimeanza kuupika hata haukuchemsha nimeshindia maji tuHuooooooooooooooo🤗🤗🤗
Pole sana aisee🤦♀️🤦♀️,, nahisi hautachelewa sana mkuu..endeleeeni kusubiriMnaishi wapi mnapendelewa hapa muda wote nimewasha taa maana simu inakata charge na utumbo niliokuwa nimeanza kuupika hata haukuchemsha nimeshindia maji tu
Taarifa lakini si walitoa?Jana pia kuna baadhi ya maeneo haukuwepo mpaka jioni ndio ukarudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee huko kwenu ni tayari kweli au unarusha roho tu?Pole sana aisee🤦♀️🤦♀️,, nahisi hautachelewa sana mkuu..endeleeeni kusubiri
Ahhaha unatumia jiko la umeme pkeeMnaishi wapi mnapendelewa hapa muda wote nimewasha taa maana simu inakata charge na utumbo niliokuwa nimeanza kuupika hata haukuchemsha nimeshindia maji tu
Tayari mkuu😀Asee huko kwenu ni tayari kweli au unarusha roho tu?
Ukisema huoooooYa nini mkuu 😀😀
Mahenge unapajuaBombambili mkuu,,,..halafu huko chidumulo mbona sikujui[emoji3166]