Ile siku sitaisahau, nakumbuka since tarehe 06/03,ulizuka uzushi mkubwa uko jamuhuri ya Tweeter kuhusu afya ya Magufuli.
Basi siku ya tarehe 17, nkatoka jobs, SAA nne usiku nkalala,. Wakati nimelala nilisikia simu inaita Ila kutokana na wenge la usingizi sikuipokea,, baada ya dakika 10, nilipigiwa Tena simu,, na mshikaji wangu mmoja, namnukuu " oya jamaa Meko amefariki"
Ukweli sikumpenda Magufuli Ila nilishtuka hatari, Basi muda huo kuingia Tweeter, nakuta ni sherehe kwa baadhi ya wadau wa Tweeter.
msiba ukinikuta Niko Arusha, nimelala.
Vipi wewe mdau ulipataje habari za msiba huu, na ulikuwa wapi.
TO BE HONEST,,kipindi huyu mwamba akiwa madarakani ,,kuna baadhi ya mambo yaliyokua yanafanyika sikufurahishwa nayo kabisa,,,
Sasa siku ilipotangazwa hatuponae tena ,kwa bahati mbaya nilirudi home late sana kama saa sita kasoro kwa hiyo sikujua ,badala yake mida ya kumi na mbili asubuhi ndo nikaskia,,,
kiukweli pamoja na kuwa siku mkubali kivile ,,roho iliniuma saaaana,,nilitaka hadi kulia ila nilijikaza kiume ,,na mawazo yote ya kumchukia ilipotea ghafla,,yaani kama vile naanza kumkubali..
Nilichokifanya nikawa siaangalii tv kwa muda wote mpaka alipo zikwa.
Baada ya kipindi kile cha maazimisho kuisha,,,waii ,niliendelea kumponda kama kawaida mpaka sasa hivi.
Regardless of all these,,the man did something touchable to our country,,
Ila wanaendelea kuzingua kwenye issue ya kumchongea sanamu,,sijakubali wala nini,,bora hata wangejenga hospitali walipe jina lake na si sanamu itakayoonekana tyu ndani ya eneo la sabasaba kwa muda mchache ,,,
Na baada ya hapo mwisho wa siku italiwa na mchwa watumie tena gharama kukarabati,,,
Ndio maana as long as we ni ccm ,,nitakuchukia hata ukifanya mazuri ,,maana me nitaangalia madhaifu yako tyu,,,mnisamehe wana ccm
APUMZIKE KWA AMANI