Ulipokeaje na ulikuwa wapi siku ya tarehe 17 Machi, kifo cha Dkt. Magufuli

Ulipokeaje na ulikuwa wapi siku ya tarehe 17 Machi, kifo cha Dkt. Magufuli

Bomba gani unaloongelea, ni hili ambalo hata Mama kaenda Uganda kusign juzijuzi tu?
Yes it wasnt easy walk to get that deal bro majiran walikua wanamendea hii keki kuna mtifuano katikati hapo hujui tuu
 
Funga domo lako usinisababishie nafungiwa jf, funga bakuli lako hujui watu tumeumia kiasi gani.
Mimi ni mtu wa kawaida kuna watu humu tunajuana face to face. We mjinga ungekuwa karibu yangu ningekudunda mbaya kwa hasira nilizo nazo.
Mamilion wanalia kwa ajili ya jpm wewe unaongea ujinga, hivi unajua jpm alikuwa muhimu kiasi gani?
Unajua nini maana ya uongozi wewe?

Akili kisoda wewe.

Acha kutisha watu mjinga Wewe. Unalazimisha watu wahuzunike kwa Shetani wa Gamboshi Magufuli!
Msukuma wa hedi mkubwa. Haya kaliwa na funza sasa mfuate huko aliko. Pfuuuuuu
 
Acha kutisha watu mjinga Wewe. Unalazimisha watu wahuzunike kwa Shetani wa Gamboshi Magufuli!
Msukuma wa hedi mkubwa. Haya kaliwa na funza sasa mfuate huko aliko. Pfuuuuuu
Sishangai kuwepo na binadamu wa aina yako wanaomini matusi ndio last option ya kutetea wanachokiamini dunia isingekua na watu kama nyinyi wenye hekima na busara wangeishi ulimwengu upi? Elimika sikufundishi
 
Ile siku sitaisahau, nakumbuka since tarehe 06/03,ulizuka uzushi mkubwa uko jamuhuri ya Tweeter kuhusu afya ya Magufuli.

Basi siku ya tarehe 17, nkatoka jobs, SAA nne usiku nkalala,. Wakati nimelala nilisikia simu inaita Ila kutokana na wenge la usingizi sikuipokea,, baada ya dakika 10, nilipigiwa Tena simu,, na mshikaji wangu mmoja, namnukuu " oya jamaa Meko amefariki"

Ukweli sikumpenda Magufuli Ila nilishtuka hatari, Basi muda huo kuingia Tweeter, nakuta ni sherehe kwa baadhi ya wadau wa Tweeter.

msiba ukinikuta Niko Arusha, nimelala.

Vipi wewe mdau ulipataje habari za msiba huu, na ulikuwa wapi.
Nilikuwa Longido kikazi. Nataka nilale nikatumiwa sms kwamba mzee amefariki. Sikuamini basi nikabidi nimpgie jamaa yangu nimuulize, nikajibiwa ndio nisubiri Habari tbc.
Baada ya hapo nilienda kulala mida ya saa 4 kasoro usiku, ila niliweweseka kwa mawazo (sikutaka kuamini kabisa) mpaka saa 6 ndio nikapata usingizi.
Asubuhi naenda field karibia kila mtu hakuwa na furaha hata wale wakosoaji.
 
Walizuga tu sio kwamba hawakua na furaha!

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Ile siku sitaisahau, nakumbuka since tarehe 06/03,ulizuka uzushi mkubwa uko jamuhuri ya Tweeter kuhusu afya ya Magufuli.

Basi siku ya tarehe 17, nkatoka jobs, SAA nne usiku nkalala,. Wakati nimelala nilisikia simu inaita Ila kutokana na wenge la usingizi sikuipokea,, baada ya dakika 10, nilipigiwa Tena simu,, na mshikaji wangu mmoja, namnukuu " oya jamaa Meko amefariki"

Ukweli sikumpenda Magufuli Ila nilishtuka hatari, Basi muda huo kuingia Tweeter, nakuta ni sherehe kwa baadhi ya wadau wa Tweeter.

msiba ukinikuta Niko Arusha, nimelala.

Vipi wewe mdau ulipataje habari za msiba huu, na ulikuwa wapi.
Alifariki Baba, alifariki Mama nilihuzunika sana tu bila kutoa chozi.
Ila kwa JPM chozi lilinitoka kwa huzuni kubwa huku mapigo ya moyo yakiwa juu sana.
Hadi leo bado ninahuzuni.
 
"Eti JIWE kafariki" ndio sms niliyoikuta masaba au manane ya usiku toka kwa wife, nikazama jf fasta kuja kucheki page ya TANZIA ishafika ya 30+
 
Nilikuwa usingizini,ule usingizi wa mwanzomwanzo(REM)....ghafla nikaamshwa na SAUTI YA MAKAMU WA RAIS MH.SSH kupitia redio bora na pendwa nchini ,TBC...

Kwa kuwa alikuwa LIVE na USIKU nikajua something is terrible....

Niliposikia akitangaza kifo daah MACHOZI YALINIBUBUJIKA bila ya kutoa sauti.....

Niliamka na kuchukua PAKETI YANGU YA SIGARA...bahati zilikuwa ziko 18 baada ya mbili kuzitumia....sikulala tena mpaka ASUBUHI saa 12 NILIPOTOKA kwenda kijiwe cha kahawa.....

Kwa kweli JPM aliniumiza mno.....

REST EASY EL COMANDANTE JPM

#Siempre Hasta la Victoria JPM
#Yetzer ha-tov JPM!
 
Kipindi hiki tunatumia bajeti kubwa kwenye korona ndio naona ugonjwa upo.
Napambana na hali yangu nikipona sitovaa tena barakoa.
R.I.P malaika JPM uliviona wewe pekee kabla ya watafiti wa dunia kuona.
Leo uingereza inatangaza kupunguza tahadhari zote za corona sisi ndio tunataka kuzichukua vizima vizima.
 
Pole sana Mkuu. Yule dhalimu kaumiza Watanzania wengi sana katika kila sekta nchini.

Mimi huwa nina machale sana na simu za usiku sana hasa kama sio za madem zangu.

Siku hio sister kanipigia simu saa 5 usiku, nikaikaushia tu nikahisi jambo zito linakuja. Sio kawaida kunipigia late night.

Baadae ananitumia sms eti magufuli kafariki, dah nilizima simu, nikalala! Like nothing happened.

I lost my Job because of him.
And now I am a senior un employed fellow.

6 yrs without a Job
 
Mi sikushituka sana taarifa ya Msiba,maana wiki moja kabla ya tar 17 MhLema aliandika ujumbe kuwa haya nyie ccm nendeni mkabadilishe na katiba ya mbinguni sasa.nikajua tayari Mzee ashavuta tayari.

Inawezekana hiyo tar 17 Mzee alikuwa tayari alishakabidhiwa madaraka huko juu wiki moja kabla hamjatamgaziwa.
 
😂😂😂😂😂 Pati la kimya kimya 🤣🤣🤣🤣

Nililala na mipombe sema niliposhtuka usiku wa manane nikaingia jf kama ilivyo kawaida ndipo nikaona TANZIA.

Huwezi amini usiku uleule nililewa zaidi maana kuna jirani nilimpa taarifa akaamka tukamgongea mangi tukaanza kulewa upya.... Mangi mwenyewe alilewa hatari mpaka asubuhi.

Ilikuwa pati la kimyakimya
 
Mshkaji alinipigia simu saa Tano, akaniambia "unalala nakati korosho kafa" nikamwambia kama unatania utakua umeniumiza sanaa, akanisikilizisha clip ya SSH, nikamwambia Basi tumebakiza ile fungus Moja fupi kama nukta pale Dodoma kwenye Yale Maspika...

Akaniambia "mzee mimi niliamini nina roho ngumu ila umenizidi khaaaaa .......i" akakata simu nikalala...
 
Ile siku sitaisahau, nakumbuka since tarehe 06/03,ulizuka uzushi mkubwa uko jamuhuri ya Tweeter kuhusu afya ya Magufuli.

Basi siku ya tarehe 17, nkatoka jobs, SAA nne usiku nkalala,. Wakati nimelala nilisikia simu inaita Ila kutokana na wenge la usingizi sikuipokea,, baada ya dakika 10, nilipigiwa Tena simu,, na mshikaji wangu mmoja, namnukuu " oya jamaa Meko amefariki"...
That day nilikuwa kilingeni siku nzima na sikutoka.. I saw it coming kwakuwa tayari ilishatokea about a week ago... Nilikuwa nasubiri tu confirmation nifunge Kilinge nikapate munde

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilipopata taarifa,,,nilikuwa nipo melini.

Nilichanganyikiwa sn mkuu..

Badala ya kufunga kamba kwenye bit nikajifunga mguu..

Rip my president,,,

Kwa magufuli niliiona Tanzania yenye mafanikio sana miaka kumi ijao.
 
Ile siku sitaisahau, nakumbuka since tarehe 06/03,ulizuka uzushi mkubwa uko jamuhuri ya Tweeter kuhusu afya ya Magufuli.

Basi siku ya tarehe 17, nkatoka jobs, SAA nne usiku nkalala,. Wakati nimelala nilisikia simu inaita Ila kutokana na wenge la usingizi sikuipokea,, baada ya dakika 10, nilipigiwa Tena simu,, na mshikaji wangu mmoja, namnukuu " oya jamaa Meko amefariki"...
Sikuamini kilichotokea, hadi leo naona kajificha somewhere. Kwa nature ya maisha ya marehemi kabla ya uhai wake...utatarajia jambo baya kutokea ingawa si msiba mkubwa kama Ile...sisi wanadam tumejaaliwa tusiyoyajua wala kuyategemea ni kwa kuwa hatutilii maanani.

Ilikuwa rahisi kujua Hayati amejijengea chuki ya juu san kwa makundi yote, pamoja na mataifa,walaji waliopo juu huko, oyaoya ilikuwa kwa Akina bodaboda pekee,wasiojua chochote.

Mazingira yangu ya kaz najua flan hawez kudumu katika kaz na hutokea ..kwa Mzee baba nikitegemea kuondoka japo si kifo
 
Back
Top Bottom