witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Kwanini unasema hakuna muelekeoNamkumbuka dada mmoja wa Kimasai aliyenitonya dhalimu kafa tangu tarehe 11 March. Siku hiyo huyo dada aliruka ruka kwa furaha kubwa sana. Wala sikumlaumu kwani kama mfanyabiashara Arusha na Dar biashara zake zimeyumba sana kutokana na sera MUFILISI na kwa muelekeo huu wa samia sidhani kama kutakuwa na ahueni anytime soon.