duuuuuuuMimi nilikunywa Whisky mapema nikalala.
Sa saba nasikia sauti dirishani kwangu, mshana, mshana amka tukanywe bia jamaa katili kafariki.
Dah..........
Nilkuwa nmelala,seburen kuna watu walkuwa wanachek tv,nkasikia wanasema pimbi kafa,nkafurah sana,nkaingia fb,nkaanza kuona post zake kumhusu.
itakuwa wewe ni jokate au ulinufaika kweli na utawala wa jiwe, naona ulikuwa unafurahia watu kupigwa risasi, kuuawa, kutekwa, kubadikiwa kesi za uhujumu uchumi,je kaa ben saa nane, azory gwada, kangunye, mawazo na wengine wengi ambao jpm aliua ungekuwa na huzuni wakati huyu shetani mungu alimuondoa na kumutupa kwa moto wa mileleTaarifa za kifo chake nilizipata trh 9 kutoka kwa mtu ambae hawezi kudanganya ila nikajua uzushi tu.
Tetesi zikaendelea mitandaoni, sasa siku ya trh 17 saa 11 alfajiri nilikosa usingizi nikaingia jf nikakuta mtu kaweka uzi akisema " si watangaze tu raisi wa nchi yupo kwenye fridge wiki nzima si watangaze"
Yesuuuu, moyo ulidunda mbio nikatoka kitanda nikashika biblia sikuifungua nikapiga magoti nikasema Mungu nakuomba hiki nikachokihisi nikilinganisha na tetesi za mitandaoni mungu naomba isiwe ni kweli.
Yaani nilihisi naumivu ila nikajisemea hapana hizi hisia mbaya nikajiandaa nikaenda kazini.
Nikiwa ofisin kuna kijana mmoja kaingia akicheka kweli akasema "jiwe lazima lidondoke" nilimjibu magufuli hafi leo tukaishia hapo.
Nyumbani nilifika saa 3 nikajilaza kwenye sofa nikapitiwa usingizi, sasa nikiona simu ya mama inaita najua ni saa 4 usiku, nikampokea usingizini tukasalimiana mwisho akaniambia eti " dada nimesikia jpm kafa? Nikasema mama hao waongo.
Nilienda chumbani nikalala mida kama ya saa 6 kasoro naona shoga yangu wa moro ananipigia, bila hata salama nikasikia, " wewe unalala hovyo wakati raisi kafa? Yesuuuuuuu, usingizi ukikata nikamjibu, wewe ni uzushi uko mitandaoni, akasema washa tv samia anatangaza.
Fasta nikaingia insta nikakuta samata kapost yesuuuuu nilipiga kelele, na ninavyoishi mwenyewe, nikaanza kupigia watu nikiuliza.
Nikaona haitoshi, kuna ndugu yake jpm namjua nikampigia alivyopokea simu kwa muda ule nilijua tiyari, nilibaki tu napiga ukunga, kila ninaempigia yupo hewani watu wanalia aiseee.
Nakili magufuli nilikuwa namkubali kawaida tu ila sijui baada ya kusikia kifo chake yale maumivu yalitoka wapi yaan utadhani mimi ndugu yake. Nililia sana.
Kuna fala mmoja akanipigia najua hampendaji jpm, nikapokea nikasikia kicheko nikakata simu nikamblock. Siku mbili baadae akanitafuta kwa no nyingine nilimchamba hakuamini. Akinipigia siku hizi lazima awe na adabu sina hasara hata asipokuwa rafiki yangu.
Magufuli ulijua kuniumiza jamani.
RIP JPM.
Funga domo lako usinisababishie nafungiwa jf, funga bakuli lako hujui watu tumeumia kiasi gani.itakuwa wewe ni jokate au ulinufaika kweli na utawala wa jiwe, naona ulikuwa unafurahia watu kupigwa risasi, kuuawa, kutekwa, kubadikiwa kesi za uhujumu uchumi,je kaa ben saa nane, azory gwada, kangunye, mawazo na wengine wengi ambao jpm aliua ungekuwa na huzuni wakati huyu shetani mungu alimuondoa na kumutupa kwa moto wa milele
TO BE HONEST,,kipindi huyu mwamba akiwa madarakani ,,kuna baadhi ya mambo yaliyokua yanafanyika sikufurahishwa nayo kabisa,,,Ile siku sitaisahau, nakumbuka since tarehe 06/03,ulizuka uzushi mkubwa uko jamuhuri ya Tweeter kuhusu afya ya Magufuli.
Basi siku ya tarehe 17, nkatoka jobs, SAA nne usiku nkalala,. Wakati nimelala nilisikia simu inaita Ila kutokana na wenge la usingizi sikuipokea,, baada ya dakika 10, nilipigiwa Tena simu,, na mshikaji wangu mmoja, namnukuu " oya jamaa Meko amefariki"
Ukweli sikumpenda Magufuli Ila nilishtuka hatari, Basi muda huo kuingia Tweeter, nakuta ni sherehe kwa baadhi ya wadau wa Tweeter.
msiba ukinikuta Niko Arusha, nimelala.
Vipi wewe mdau ulipataje habari za msiba huu, na ulikuwa wapi.
Hii chuki haifai mkuu hata iwe vp lakini alikua ,Rais wetu,baba wa familia,mtanzania mwenzetu amefanya Mambo mengi mazuri Ana deserve heshima hata Kosovo sio comment Kama hiziNatamani Sana March 17 2021 irudiwe, IRUDIWE!
Nilikuwa nipo Arusha kikazi, nikapigiwa simu mida ya saa5.30 usiku nikaambiwa meko kafa, sikuamini nikawasha data msg za magrouo zikaja mfululizo sio mchezo, nikathibitisha ni kweli pombe amemwagika.
Nikaamka Kwanza nikashea habari njema na wanyonge wenzangu, kilichofuata ni kuoga pombe pub ya jirani na kesho yake nikachomoka chap kuungana na wanyonge tukafanya party pale Majengo Moshi
Aisee unenikumbusha 2014, Daraja LA Dumila lilivyokatika na mawasiliano ya Moro<>Dom kukatika. Nilimshuhudia Mwamba akiwapa morali wale madereva wa magari yanayobeba mawe kujazia pale maji yalipoondoa barabara. Nakumbuka alikuwa anawapa 5000Tshs kwa kila trip ukifikisha mawe pale. Sijui hela alikuwa anazitoa wapi, lakini alisaidia mawasiliano kurudi fasta!Daah kabla ya Tarehe 17 tarehe 9 majaliwa anaenda njombe tarehe 12samia ana ziara Tanga siku tatu kabla ya hizo tarehe malaika alikua akizungumza na mimi katika roho
Nilimuota magufuli mara tatu ni baaada ya kuhutubia mbezi pale alinionyesha Mungu magufuli amekufa nilipatwa na roho ya kuomba na kujinyenyekeza mbele za bwana kitu ninacho amini magufuli alikufa tarehe 8 mwezi wa tatu
NILIMPENDA HUYU MTU KWA MARA YA KWANZA NAMUONA MAGUFULI NILIKUA NAMPELEKEA DEMU WANGU ZAWADI KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA ALIKUA ANASOMA BAOBAB GIRLS BAHATI MBAYA SIKU ILE ILINYESHA MVUA DARAJA LA RUVU CHINI LILIKATIKA MAWASILIANO YA BARABARA KUTOKA MSATA KUJA DAR KUPITIA BAGAMOYO ROAD HAYAKUWA YANAPITIKA NDIPO MWAMBA ALIPOFIKA NA KUREKEBISHA HALI NIKAMUONA NILIWAZA MOYONI HUYU ANAFAA KUA RAISI WA NCHI NA KWELI IKAWA NILIMPENDA SANA HUYU MWAMBA TOKA MOYONI SIJIPIGA KURA TENA NILIANZA KWAKE UTAMADUN WA KUPIGA KURA NA UMEISHIA KWAKE KIBAYA NA KINACHONIUMA DEMU NILIYEMPENDA KANIACHA NA MWAMBA AMELALA MILELE NINAMAUMIVU TWO SIDE NI HAYO
Chuki ya nini wakati kila mtu anakumbukia Experience yake siku hiyo? Mimi binafsi siku hiyo jiwe anatangazwa amekufa, nilikuwa kwenye Majonzi ya kufiwa na Mama Mkwe wangu. Alikufa usiku wa kuamkia 17/03, kwa Umaskini wetu uliochangiwa na huyu mwendazake tulisafirisha maiti hiyo hiyo 17/03. Sasa tukafika ukweni saa 11:15 pm. Tunapata hiyo habari ya Jiwe, kiukweli ilitufariji karibia Wote tuliokuwa msibani na majonzi yetu yakapunguzwa mno!Hii chuki haifai mkuu hata iwe vp lakini alikua ,Rais wetu,baba wa familia,mtanzania mwenzetu amefanya Mambo mengi mazuri Ana deserve heshima hata Kosovo sio comment Kama hizi
Muache apumzike kwa amani kazi kaifanya vyema matusi tutapokea sisi wanayomtukana hakuna namnaAisee unenikumbusha 2014, Daraja LA Dumila lilivyokatika na mawasiliano ya Moro<>Dom kukatika. Nilimshuhudia Mwamba akiwapa morali wale madereva wa magari yanayobeba mawe kujazia pale maji yalipoondoa barabara. Nakumbuka alikuwa anawapa 5000Tshs kwa kila trip ukifikisha mawe pale. Sijui hela alikuwa anazitoa wapi, lakini alisaidia mawasiliano kurudi fasta!
Umesahau BashiteWewe Lengai, umepata wapi simu na wakati uko mahali salama!!! Ni wewe peke yako unayemuita hayati 'daddy'
Hapo alikuwa Waziri wa Ujenzi/Mawasiliano na Uchukuzi. Sema alipopewa Mpini akabadilika kabisa!!Muache apumzike kwa amani kazi kaifanya vyema matusi tutapokea sisi wanayomtukana hakuna namna
Daaah yan mkuu naamani nikae nikufundishe historia....nikupe na mifano kwanini jamaa alikua vile na kwann dunia ili muheshimu kwa kumpa siku ya kipekee UN kutambua mchango wake uliotukuka uliskia wapi raisi wa nchi za afrika anakufa anapewahiyo spesho recognition? Tambua hao ni wazunguwa,wanamwambia nchi yake imeingia middle income country World bank sio NBS kwamba aliwashurutisha kutoa data za uongo my brother alikua na project kubwa katika africa bwawa la nyerere SGR bomba lamafuta gafi kutoka uganda ilibidi alipe mishahara, kasomesha watoto bure then utegemee aaajiri kweli mkuu? Aongezemishahara kweli? Huku aruhusu democrasia unaona samia anavyoanza kuhaha wameanza kumpanda kichwani lazima wasaliti kama lissu tuwatembezee gun kuwakumbusha kuwa nchi ipo serious kujengwa kama unamchukia mkuu kwa haya machache namuombea msamaha mtu huyu ila alikua na dhamira njema sana na hii nchi wananchi wanamanunguniko sana kama akitokea mgombea mwaka 2025 akasema ntafuata sera zamagufuli yan hata uweke jiwe watu watalipigiakura jiwe na sio viongozi njaa ona mama anavyodharirishwawananchi hawamuelewi kuhusu jambo moja tuu la coronaHapo alikuwa Waziri wa Ujenzi/Mawasiliano na Uchukuzi. Sema alipopewa Mpini akabadilika kabisa!!
Kwenye Corona nipo na mwamba 100%, Sema kwenye haya mengine na wewe hukumwelewa tu. Mtu na akili zake timamu anakomaa na Bwawa lililofanyiwa Upembuzi yakinifu miaka ya 1970 kweli? Pale alitupiga hela zetu wanyonge. Hii SGR mwanzoni ilikuwa ijengwe na Wachina, mwamba akazingua kwa kuwa10% ilikuwa sio upande wake. Walivyokaa sasa akawapa Mwanza<>Isaka.Daaah yan mkuu naamani nikae nikufundishe historia....nikupe na mifano kwanini jamaa alikua vile na kwann dunia ili muheshimu kwa kumpa siku ya kipekee UN kutambua mchango wake uliotukuka uliskia wapi raisi wa nchi za afrika anakufa anapewahiyo spesho recognition? Tambua hao ni wazunguwa,wanamwambia nchi yake imeingia middle income country World bank sio NBS kwamba aliwashurutisha kutoa data za uongo my brother alikua na project kubwa katika africa bwawa la nyerere SGR bomba lamafuta gafi kutoka uganda ilibidi alipe mishahara, kasomesha watoto bure then utegemee aaajiri kweli mkuu? Aongezemishahara kweli? Huku aruhusu democrasia unaona samia anavyoanza kuhaha wameanza kumpanda kichwani lazima wasaliti kama lissu tuwatembezee gun kuwakumbusha kuwa nchi ipo serious kujengwa kama unamchukia mkuu kwa haya machache namuombea msamaha mtu huyu ila alikua na dhamira njema sana na hii nchi wananchi wanamanunguniko sana kama akitokea mgombea mwaka 2025 akasema ntafuata sera zamagufuli yan hata uweke jiwe watu watalipigiakura jiwe na sio viongozi njaa ona mama anavyodharirishwawananchi hawamuelewi kuhusu jambo moja tuu la corona
Bomba gani unaloongelea, ni hili ambalo hata Mama kaenda Uganda kusign juzijuzi tu?Daaah yan mkuu naamani nikae nikufundishe historia....nikupe na mifano kwanini jamaa alikua vile na kwann dunia ili muheshimu kwa kumpa siku ya kipekee UN kutambua mchango wake uliotukuka uliskia wapi raisi wa nchi za afrika anakufa anapewahiyo spesho recognition? Tambua hao ni wazunguwa,wanamwambia nchi yake imeingia middle income country World bank sio NBS kwamba aliwashurutisha kutoa data za uongo my brother alikua na project kubwa katika africa bwawa la nyerere SGR bomba lamafuta gafi kutoka uganda ilibidi alipe mishahara, kasomesha watoto bure then utegemee aaajiri kweli mkuu? Aongezemishahara kweli? Huku aruhusu democrasia unaona samia anavyoanza kuhaha wameanza kumpanda kichwani lazima wasaliti kama lissu tuwatembezee gun kuwakumbusha kuwa nchi ipo serious kujengwa kama unamchukia mkuu kwa haya machache namuombea msamaha mtu huyu ila alikua na dhamira njema sana na hii nchi wananchi wanamanunguniko sana kama akitokea mgombea mwaka 2025 akasema ntafuata sera zamagufuli yan hata uweke jiwe watu watalipigiakura jiwe na sio viongozi njaa ona mama anavyodharirishwawananchi hawamuelewi kuhusu jambo moja tuu la corona