Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,347
[emoji12] [emoji12]Hahahaah unanikumbusha Michael na watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12] [emoji12]Hahahaah unanikumbusha Michael na watoto
Sisi tulikuwa tunaimba hivi.....Walioqoute post hii mnaujua huu wimbo au? everlenk na wenzako
Hivi hamna namna ya kuipata huu wimbo kwa sasaSisi tulikuwa tunaimba hivi.....
Bwana wa Bwana hapokei rushwa ,Bwana wa Bwana hapokei rushwaaaaaaa.....
Solo..Kama ingelikuwa mbinguni tunaenda kwa unene wanene wameenda wengine tungebaki wanene wangeenda jama wengine tungebaki....
Kiitikio....
Solo:kama ingelikuwa mbinguni wanaenda wachungaji, wachungaji wangeenda wengine tungebaki ,wachungaji wangeenda jama wengine tungebaki......
Basi Soloist atapambisha vile apendavyo.
Kuna dada mmoja ameuimba ni wa Iringa ngoja niutafute YouTube nitautupia.Hivi hamna namna ya kuipata huu wimbo kwa sasa
We nambie tu anaitwa nani au unaitwaje nikaupakue, huu wimbo sitousahauKuna dada mmoja ameuimba ni wa Iringa ngoja niutafute YouTube nitautupia.
Hata kuna Mch Mwaisabila wa Mbeya naye alikuwa anaupenda sana huu wimbo...Umenikumbusha zama zile tunasali kwa Mwamlima, mimi na asali Wangu Mamndenyi.
Mwinjilisti Mwaibofu alikuwa ana wimbo anaupenda sana......
TWENDE SOTE KUNYUMBA YA BABA....
KUNYUMBA YA BABA........
jaman nlikua nalipenda sana hili pambio limenitoka kabisa..asante kwa kukumbushia.mapambio mapya ya siku hiz hayavutii kama ya zamani.Yesu ni wangu ni wa uzima na milele