Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

Ingelikuwa mbinguni wanakwenda wachungaji, wachungaji wangekwenda waumini tungebaki, wachungaji wangekwenda waumini tungelia sana, bwana wa mabwana....

Hili pambio naimba mpaka leo
Walioqoute post hii mnaujua huu wimbo au? everlenk na wenzako
 
Walioqoute post hii mnaujua huu wimbo au? everlenk na wenzako
Sisi tulikuwa tunaimba hivi.....

Bwana wa Bwana hapokei rushwa ,Bwana wa Bwana hapokei rushwaaaaaaa.....

Solo..Kama ingelikuwa mbinguni tunaenda kwa unene wanene wameenda wengine tungebaki wanene wangeenda jama wengine tungebaki....

Kiitikio....

Solo:kama ingelikuwa mbinguni wanaenda wachungaji, wachungaji wangeenda wengine tungebaki ,wachungaji wangeenda jama wengine tungebaki......

Basi Soloist atapambisha vile apendavyo.
 
Ni kanisani they know my story,
From a Sunday school,
I have been hustle to pray,
Eeeenheee ni kanisani
Me and mom
From the Sunday church
We have been hustle to pray,
Eeeenheee in kanisa enhee
My friend are there,
My friend suffer
For a better living.
Utoto raha Sunday una enjoy.

........ ( ojuelegba remix )
Wimbo wa Sunday school huu hadi raha.
Goldie ink.
 
Sisi tulikuwa tunaimba hivi.....

Bwana wa Bwana hapokei rushwa ,Bwana wa Bwana hapokei rushwaaaaaaa.....

Solo..Kama ingelikuwa mbinguni tunaenda kwa unene wanene wameenda wengine tungebaki wanene wangeenda jama wengine tungebaki....

Kiitikio....

Solo:kama ingelikuwa mbinguni wanaenda wachungaji, wachungaji wangeenda wengine tungebaki ,wachungaji wangeenda jama wengine tungebaki......

Basi Soloist atapambisha vile apendavyo.
Hivi hamna namna ya kuipata huu wimbo kwa sasa
 
Umenikumbusha zama zile tunasali kwa Mwamlima, mimi na asali Wangu Mamndenyi.
Mwinjilisti Mwaibofu alikuwa ana wimbo anaupenda sana......
TWENDE SOTE KUNYUMBA YA BABA....
KUNYUMBA YA BABA........
 
Umenikumbusha zama zile tunasali kwa Mwamlima, mimi na asali Wangu Mamndenyi.
Mwinjilisti Mwaibofu alikuwa ana wimbo anaupenda sana......
TWENDE SOTE KUNYUMBA YA BABA....
KUNYUMBA YA BABA........
Hata kuna Mch Mwaisabila wa Mbeya naye alikuwa anaupenda sana huu wimbo...
 
Toa ndugu, toa ndugu ulichonacho...

Hii hadi leo ni muhimu maishani.
 
Neno litasimama ,neno litasimama mambo yote yataoita lakini neno litasimama
 
Mi nalikumbuka pambio la "bwana yesu ni komando" lilikuwa likipigwa hilo hata wanaolala kanisan wanaamka
 
Back
Top Bottom