Ndugu zangu wanaume, wakati mwingine lazima ujiulize: π€
Huu upendo ulikuwa wapi wakati nilikuwa nashindia mihogo na kunywa maji?β π
Ulihangaika peke yako, ulijijenga kutoka sifuri, halafu ulipofanikiwa/unapofanikiwa ghafla watu wanaanza kujifanya walikuwa sehemu ya mafanikio yako.
Chagueni watu mnaowazunguka kwa umakini. Si kila anayeshangilia mafanikio yako alishiriki katika safari yako.
Wakati wa shida, wengi watakutazama ukianguka. Wakati wa mafanikio, wengi watataka kusimama karibu na wewe.
Usisahau waliokushika mkono wakati hukuwa na kitu cha kuwapa.
Heshimu waliokuamini kabla dunia haijaanza kukuamini. Na zaidi ya yote, usiruhusu mafanikio yakufanye usahau ulipotoka.
Kwa sababu utajiri unaweza kukupa watu wengi karibu yako, lakini historia yako ndiyo itakuonyesha nani alikuwa pamoja nawe wakati wa struggles zako.
Falsafa ni ile ile βwa nje wa nje, wa ndani wa ndaniβ πNdugu zangu wanaume, wakati mwingine lazima ujiulize: π€
Huu upendo ulikuwa wapi wakati nilikuwa nashindia mihogo na kunywa maji?β π
Ulihangaika peke yako, ulijijenga kutoka sifuri, halafu ulipofanikiwa/unapofanikiwa ghafla watu wanaanza kujifanya walikuwa sehemu ya mafanikio yako.
Chagueni watu mnaowazunguka kwa umakini. Si kila anayeshangilia mafanikio yako alishiriki katika safari yako.
Wakati wa shida, wengi watakutazama ukianguka. Wakati wa mafanikio, wengi watataka kusimama karibu na wewe.
Usisahau waliokushika mkono wakati hukuwa na kitu cha kuwapa.
Heshimu waliokuamini kabla dunia haijaanza kukuamini. Na zaidi ya yote, usiruhusu mafanikio yakufanye usahau ulipotoka.
Kwa sababu utajiri unaweza kukupa watu wengi karibu yako, lakini historia yako ndiyo itakuonyesha nani alikuwa pamoja nawe wakati wa struggles zako.
Hongera tajiriπmimi siyo tajiri ila nina hela ya kula. wakati nateseka, ndugu zangu upande wa baba walitaka nisome nikachunge ng'ombe zao. nikasoma kwa shida sana. kwa sasa naona wanajipendekeza hapa nawachora tu
Mmmhh ngumu kimeza1994 hiyo baba.. Nimetoka chuo niko mtaani ajira hakuna.. Nikaingia kwenye kubeba zege mzee acha kabisa.. Ujira buku
Nakumbuka siku moja nimepigika sina hata mia.. Mchana ulipita wima usiku nao ukaiga kwa mchanaππΏππΏ
Nikalala bila kitu tumboni na siku nzima nimepigika kwenye zege..! Kufika nane usiku nikajiona kabisa nazimia.. Ikabidi nifyonze colgate na kumeza cafenol 2 ili walau tumbo lipate kitu litulie..
Kweli aiseeeNdugu zangu wanaume, wakati mwingine lazima ujiulize: π€
Huu upendo ulikuwa wapi wakati nilikuwa nashindia mihogo na kunywa maji?β π
Ulihangaika peke yako, ulijijenga kutoka sifuri, halafu ulipofanikiwa/unapofanikiwa ghafla watu wanaanza kujifanya walikuwa sehemu ya mafanikio yako.
Chagueni watu mnaowazunguka kwa umakini. Si kila anayeshangilia mafanikio yako alishiriki katika safari yako.
Wakati wa shida, wengi watakutazama ukianguka. Wakati wa mafanikio, wengi watataka kusimama karibu na wewe.
Usisahau waliokushika mkono wakati hukuwa na kitu cha kuwapa.
Heshimu waliokuamini kabla dunia haijaanza kukuamini. Na zaidi ya yote, usiruhusu mafanikio yakufanye usahau ulipotoka.
Kwa sababu utajiri unaweza kukupa watu wengi karibu yako, lakini historia yako ndiyo itakuonyesha nani alikuwa pamoja nawe wakati wa struggles zako.
Sikuandika ili uamini lakiniMmmhh ngumu kimeza
π π kashesheNiambie hata PM basi πππ
Doooh Mkuu !1994 hiyo baba.. Nimetoka chuo niko mtaani ajira hakuna.. Nikaingia kwenye kubeba zege mzee acha kabisa.. Ujira buku