Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Platinum umesema, mimi nani nibishe 😹Mungu shahidi nilifanya hivyo.. Ule msemo wa adui yako muombee njaa una maana kubwa sana
Platinum umesema, mimi nani nibishe 😹Mungu shahidi nilifanya hivyo.. Ule msemo wa adui yako muombee njaa una maana kubwa sana
Baada ya vita ya Kagera kuisha Tanzania tuliingia kwenye njaa kubwa mpaka rafiki wa Nyerere Rais wa Marekani Kennedy i think alimpa Nyerere msaada wa maindi ya njano.Mungu shahidi nilifanya hivyo.. Ule msemo wa adui yako muombee njaa una maana kubwa sana
Nimesema kweli tupu Mimi nimeokoka siitaki kuchuma dhambi ya uongoPlatinum umesema, mimi nani nibishe 😹
Mimi siyo Mpare ila bibi yangu Mzaa mama sijui hata alifikaje upareni basi nilikuwa kwa Bibi uko nyumba ya Mungu nikiwa mdogo, siwezi kusahau ile njaa mlo mmoja kwa siku na samaki wa kubanika na chumvi hapo siku hiyo ndio bonge la menu,😂😂😂Baada ya vita ya Kagera kuisha Tanzania tuliingia kwenye njaa kubwa mpaka rafiki wa Nyerere Rais wa Marekani Kennedy i think alimpa Nyerere msaada wa maindi ya njano.
Mimi siyo Mpare ila bibi yangu Mzaa mama sijui hata alifikaje upareni basi nilikuwa kwa Bibi uko nyumba ya Mungu nikiwa mdogo, siwezi kusahau ile njaa mlo mmoja kwa siku na samaki wa kubanika na chumvi hapo siku hiyo ndio bonge la menu, nikikumbuka kwetu Dar kwa wazazi wangu maisha yalikuwa mazuri aisee mpaka leo mtu akiniambia hajakula siwezi kumnyima pesa ya kununuwa chakula.
Umeacha ulozi? 😹Nimesema kweli tupu Mimi nimeokoka siitaki kuchuma dhambi ya uongo
Bila sisi ndugu wa baba usingetoboa wewe, masimango na mateso kutoka kwetu yaheshimu sanamimi siyo tajiri ila nina hela ya kula. wakati nateseka, ndugu zangu upande wa baba walitaka nisome nikachunge ng'ombe zao. nikasoma kwa shida sana. kwa sasa naona wanajipendekeza hapa nawachora tu
Vizuri sana mkuu umenena tena kwa uchungu sanaaNdugu zangu wanaume, wakati mwingine lazima ujiulize: 🤔
Huu upendo ulikuwa wapi wakati nilikuwa nashindia mihogo na kunywa maji?” 😂
Ulihangaika peke yako, ulijijenga kutoka sifuri, halafu ulipofanikiwa/unapofanikiwa ghafla watu wanaanza kujifanya walikuwa sehemu ya mafanikio yako.
Chagueni watu mnaowazunguka kwa umakini. Si kila anayeshangilia mafanikio yako alishiriki katika safari yako.
Wakati wa shida, wengi watakutazama ukianguka. Wakati wa mafanikio, wengi watataka kusimama karibu na wewe.
Usisahau waliokushika mkono wakati hukuwa na kitu cha kuwapa.
Heshimu waliokuamini kabla dunia haijaanza kukuamini. Na zaidi ya yote, usiruhusu mafanikio yakufanye usahau ulipotoka.
Kwa sababu utajiri unaweza kukupa watu wengi karibu yako, lakini historia yako ndiyo itakuonyesha nani alikuwa pamoja nawe wakati wa struggles zako.
Hii ifanyiwe lamination kaka mkubwa, njaa nimewahi kuiona kwa macho yangu njaa na iogopwe na kila mtu aliye hai 😭😭mpaka leo mtu akiniambia hajakula siwezi kumnyima pesa ya kununuwa chakula.
Ankal umenibatiza ID mpya? Ankal mafix 😹
Hiyo inakufaa sana kutokana na aina ya nyuzi zako za chit chat 😹Ankal umenibatiza ID mpya? Ankal mafix 😹
Hiyo inakufaa sana kutokana na aina ya nyuzi zako za chit chat 😹
Mkuu mwaka 1994 Ujira wa buku ulikuwa kwa mwezi au kwa siku?1994 hiyo baba.. Nimetoka chuo niko mtaani ajira hakuna.. Nikaingia kwenye kubeba zege mzee acha kabisa.. Ujira buku
Nakumbuka siku moja nimepigika sina hata mia.. Mchana ulipita wima usiku nao ukaiga kwa mchana🙌🏿🙌🏿
Nikalala bila kitu tumboni na siku nzima nimepigika kwenye zege..! Kufika nane usiku nikajiona kabisa nazimia.. Ikabidi nifyonze colgate na kumeza cafenol 2 ili walau tumbo lipate kitu litulie..
Hakuna raha kama Mungu akikupa uwezo halafu kumsaidia anaehitaji kusaidiwa,tena kama yupo aliekufanyia ubaya ni raha zaidi kwani unamfundisha kuwa mtu mwema. Kuwa na uwezo na husaidii wanaohitaji kusaidiwa bule kabisa.Hakika kiongozi
Watu husubiri ufanikiwe ili waanze kukutumia
Ila wakati huna kitu watakuona kama takataka
Binafsi nimejifunza kusoma mchezo, I only hang with those who rode with me during my lowest moments.
Ndo maana unaona wa kina Mr kweka wanafanya wanaofanya because dharau na kutumika vinaitafuna nafsi sana
DeiwakaMkuu mwaka 1994 Ujira wa buku ulikuwa kwa mwezi au kwa siku?
Ndio ankalUmeacha ulozi? 😹
Pole sana kwa Kadhia hiyo ndugu Mshana.1994 hiyo baba.. Nimetoka chuo niko mtaani ajira hakuna.. Nikaingia kwenye kubeba zege mzee acha kabisa.. Ujira buku
Nakumbuka siku moja nimepigika sina hata mia.. Mchana ulipita wima usiku nao ukaiga kwa mchana🙌🏿🙌🏿
Nikalala bila kitu tumboni na siku nzima nimepigika kwenye zege..! Kufika nane usiku nikajiona kabisa nazimia.. Ikabidi nifyonze colgate na kumeza cafenol 2 ili walau tumbo lipate kitu litulie..
Nalikumbuka mkuu. Ila sikumbuki habari hata mojaUnalikumbuka hilo Gazeti ? Au Gen Z hamjui kuna gazeti lilikuwa linaitwa Kasheshe ?
Uzee unakutafuna kiongoziSikumbuki!