Ulipomfumania umpendaye ulichukua hatua gani?

Ulipomfumania umpendaye ulichukua hatua gani?

Nikijaribu kuandika nashindwa
Kwa kifupi tu huyu binti wa kifipa nimeblock no zake zote.
 
Asubuhi hii mie nipo busy .
Kutoa hii post maana imeniusu 100% . Huyu kijana nilimpenda alinipenda sana . Ukiwa kijana huwezi ishi na mtu mmoja ila huyu niliishi naye sikuwa na jiibia kwa mtu.

Siku moja niliamua kwenda kumsabahi mwaya dah yupo na mwana dada anatako kubwa , ni mrefu alikuwa na nywele poa sana. Nanizake hawa wahawajaniona nikachukua video nikapeleka kuonyesha kwa ndugu zake wote.

Wakaona wakadai alikuwa anakuficha tuna nani malaya tu tena sana.
Haya siku moja aliniita mahali naona tuwe serious nimeacha kila kitu nataka tuoane.

Jamani kwasababu nilimpenda sana nikasema okay. Akafurahi kweli akamwambia mama yake. Ila mama yake alidai hamtowezana, kweli, nimalaya sana basi siku moja bàada ya hili nilimuona na mzungu wapo busy wakikiss nikasema mmh! Ngojasasa nikachee na huu usiano kwisha.

Nilikaa muda tu, bila text wala kujibu simu zake. Muda ulipowadia wakujibu text alidai anaumwa sana sijui nini, nikaenda kamuona mtu kazima tu eti ni mafua. Ile anataka mengine nikamuonesha zile videos za yule mwanamke wa kwanza, wapili, watatu, na huyu wanne mzungu.

Nikamwambia uhusiano wako na mie umekwisha tena kabisa. Ila mie bado nampenda hivyo. Ila nilikubali kiishe, maana haya maisha tunaendeshwa na afya.

Kwani nilitoka, kumbe nilipoingia alifunga mlango kabisa🤔😓😔! Niliomba watu wafungue waligoma. Kifuatacho nichakusikitisha, maana niliamua kuplay mchezo wake. Mimi huwa ninatembea na precaution sio kinga hapana, if sitaki niwe na huyo mtu.

Nikafanya hivyo, nikaenda bafuni nikanywa hizo dawa ile nipo karibu naye nikazimia, nikaanza toa mapovu hapo nahadithiwa. Kufika hospitali wanauliza mmempa nini, kila mtu anadai hakuna hajala hata kitu kwetu wala maji, baadae after 2 month nikahama mji.

Toka hapo sijamuona tena, nilimove on, ila huyo jamaa nilimpenda sana, sijachanganya mafile nilipokuwa naye. Ila kweli nyie wanaume mnapenda kuwapanga wadada.

Je, ulipomfumania wako ilikuwaje?
aliefahamu kilichoandikwa hapa atusimulie sie wengine tufahamu na tujuwe kinachoulizwa hapa.
 
Mi sijawahi kufumania, kw hiyo sijui ni jinsi gani mtu anajisikia akifumania. Labda anahisi kufa kufa hivi. Kama ni hivyo, naweza nikatenganisha mtu kichwa na kiwiliwili.
🤣🤣🤣🤣🤣Kichwa kulia,kiwiliwili kushoto au sio?
 
Ni konyo kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787],,, acheni yaendelee tu kuwachapa wanaochapika[emoji2][emoji2]
dada sasa hivi ninatulizo langu la moyo,unikumbuke tu kwenye maombi yako nae asije kubadilika
 
Back
Top Bottom