King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
DP World (Dubai) vs TZ ni Mkataba wa KIMANGUNGO tuukatae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanguvu ipiDP World (Dubai) vs TZ ni Mkataba wa KIMANGUNGO tuukatae.
Kwanguvu ipi
Wacha weeee!nyie watoto wa kizazi kipya mmetuzidi ujanja dada zenu!Sasa huko kuvomit siwezi kuishiwa maji mwilini jamani? 🤔🤔🤔Kwa wewe chukua Joannah chukua za kuvomit ndio nzuri kimoja tu unavomit hadi anaona hali sio nzuri dawa hiyo sikuwa na visoma maana ni nesi msiri alivinipa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila hii kibokoHaziui mtu ni precation sasa unataka tutoe kwa kila mtu lazima unywe utapika unazima halafu mtu anasepa akidhani ameua so unaenda home fresh tu
Aiseee!Kama unamphamacia uliyemzoea mwelezee atavikupa ni vizuri havina madhara zaidi yakuumwa baada ya kutapika tu lazima uwe mugonjwa kidogo kutokana na vihali vyakutapika
hujambo lakini?Haziui mtu ni precation sasa unataka tutoe kwa kila mtu lazima unywe utapika unazima halafu mtu anasepa akidhani ameua so unaenda home fresh tu
Sijamboohujambo lakini?
Mimi nilifarikiAsubuhi hii mie nipo busy .
Kutoa hii post maana imeniusu 100% . Huyu kijana nilimpenda alinipenda sana . Ukiwa kijana huwezi ishi na mtu mmoja ila huyu niliishi naye sikuwa na jiibia kwa mtu.
Siku moja niliamua kwenda kumsabahi mwaya dah yupo na mwana dada anatako kubwa , ni mrefu alikuwa na nywele poa sana. Nanizake hawa wahawajaniona nikachukua video nikapeleka kuonyesha kwa ndugu zake wote.
Wakaona wakadai alikuwa anakuficha tuna nani malaya tu tena sana.
Haya siku moja aliniita mahali naona tuwe serious nimeacha kila kitu nataka tuoane.
Jamani kwasababu nilimpenda sana nikasema okay. Akafurahi kweli akamwambia mama yake. Ila mama yake alidai hamtowezana, kweli, nimalaya sana basi siku moja bàada ya hili nilimuona na mzungu wapo busy wakikiss nikasema mmh! Ngojasasa nikachee na huu usiano kwisha.
Nilikaa muda tu, bila text wala kujibu simu zake. Muda ulipowadia wakujibu text alidai anaumwa sana sijui nini, nikaenda kamuona mtu kazima tu eti ni mafua. Ile anataka mengine nikamuonesha zile videos za yule mwanamke wa kwanza, wapili, watatu, na huyu wanne mzungu.
Nikamwambia uhusiano wako na mie umekwisha tena kabisa. Ila mie bado nampenda hivyo. Ila nilikubali kiishe, maana haya maisha tunaendeshwa na afya.
Kwani nilitoka, kumbe nilipoingia alifunga mlango kabisa[emoji848][emoji29][emoji17]! Niliomba watu wafungue waligoma. Kifuatacho nichakusikitisha, maana niliamua kuplay mchezo wake. Mimi huwa ninatembea na precaution sio kinga hapana, if sitaki niwe na huyo mtu.
Nikafanya hivyo, nikaenda bafuni nikanywa hizo dawa ile nipo karibu naye nikazimia, nikaanza toa mapovu hapo nahadithiwa. Kufika hospitali wanauliza mmempa nini, kila mtu anadai hakuna hajala hata kitu kwetu wala maji, baadae after 2 month nikahama mji.
Toka hapo sijamuona tena, nilimove on, ila huyo jamaa nilimpenda sana, sijachanganya mafile nilipokuwa naye. Ila kweli nyie wanaume mnapenda kuwapanga wadada.
Je, ulipomfumania wako ilikuwaje?
Km nyie mnavyo tupanga kisirisiriAsubuhi hii mie nipo busy .

Mnajiona sasa mlivyo na miujiza note wadada, [emoji23]Kama unamphamacia uliyemzoea mwelezee atavikupa ni vizuri havina madhara zaidi yakuumwa baada ya kutapika tu lazima uwe mugonjwa kidogo kutokana na vihali vyakutapika
Igeni mfe mkumbuke internal body formation mnatofautiana binadamu take careWacha weeee!nyie watoto wa kizazi kipya mmetuzidi ujanja dada zenu!Sasa huko kuvomit siwezi kuishiwa maji mwilini jamani? [emoji848][emoji848][emoji848]
Kwa hiyo unahisi kichwa changu ni pambo?Igeni mfe mkumbuke internal body formation mnatofautiana binadamu take care
Mwandiko wa mwendo kasi huoNimejitahidi kusoma nielewe ila kila nikikaza nahisi ajali kichwani.....ni ngumu sana kuelewa ndugu mwandishi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mi nataka tu hizo precautions ulizomeza,na Mimi nitembee nazo🤦