Ulipomfumania umpendaye ulichukua hatua gani?

Ulipomfumania umpendaye ulichukua hatua gani?

Naandika huku nacheka

Ana ndugu wangapi huyo jamaa mpaka ukawaonyesha wote hyo video?

Ulikua umetambulishwa mpaka uweke ukaribu na mama mtu😁😁

Eb ngoja kabla sijaendelea
Hivi nyie mliopo humu kwenye hii software mpo kwenye real world? Mbona heka heka zenu ni kama hazina matumizi ya medulla
 
Kwanza Kwanini nimfumanie?

Labda iwe by the way lakini sio kufanya juhudi za kwenda mahala fulani Eti kwenda kumfumania?! [emoji848][emoji57]

Kwanini kwenda kutafuta kujiondolea amani na furaha yako wewe mwenyewe?

Na ikiwa by the way hapo ndipo nitafanya maamuzi ya subira ikiwemo kujitenga naye kisha kuitafuta furaha yangu mahala Pengine kwa usalama na amani.
 
Naandika huku nacheka

Ana ndugu wangapi huyo jamaa mpaka ukawaonyesha wote hyo video?

Ulikua umetambulishwa mpaka uweke ukaribu na mama mtu😁😁

Eb ngoja kabla sijaendelea
Hivi nyie mliopo humu kwenye hii software mpo kwenye real world? Mbona heka heka zenu ni kama hazina matumizi ya medulla
Yes, nilijulikana kwao
 
Kwann ukamfumanie mtu unaempenda , nazn ttzo ni lako kaa mbali na wachonganishi enjoy upendo wako
 
Back
Top Bottom