masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
Ungekuwa umeelezea kwa undani ingekuwa vizuri zaidi. Kuna morani aliku-cheat? Alikwenda kuchomeka mkuki wake kwenye nyumba ya morani mwenzake, ishara kuwa yuko ndani anafanya mambo?kwa experience yangu....huwa hawaaachi🥹🥹🥹🥹🥹🥹
Wataachaje wakati hiyo ni tabia yao?kwa experience yangu....huwa hawaaachi🥹🥹🥹🥹🥹🥹
Inategemea ni nini kimesababisha. Kama ni malipizi ya visasi, wengi huwa wanaacha. Ila kama ni maumbile, hapo sijui.kwa experience yangu....huwa hawaaachi🥹🥹🥹🥹🥹🥹
samehe saba mara sabini na usonge mbele kwa heshima zaidi.kwa experience yangu....huwa hawaaachi🥹🥹🥹🥹🥹🥹
Acha watu wabadilishe flavors, kila siku coca tu hata wewe ungeweza? Sometime mirinda nyeusikwa experience yangu....huwa hawaaachi🥹🥹🥹🥹🥹🥹
tabia ngoziWataachaje wakati hiyo ni tabia yao?
sahihiHuwa hawaachi kabisa,,,
SEMA hivi mbinu Kali za kivita zinahitajika ili wachepuke wewe usijue kabisa....... Na huo uchepukaje usikuathiri kivyovyote vile.
Wanaacha vizuri tu.... Labda kama inshu ya kuchepuka ni kubwa ambako mchepuko anafanywa sub yakosahihi
ni ngumu kuanza kisha kuacha
kucheat na sense of perfection ni mbingu na ardhi....samehe saba mara sabini na usonge mbele kwa heshima zaidi.
sense of perfection ni sumu kali sana ya kuangamiza mahusiano na hata ndoa.
jiepushe nayo kwasababu hakuna alie mkamilifu.
ukishindwana nae kwasababu ya mapungufu na dhambi zake, dhidi ya utakatifu wako na ukamilifu wako, achana nae kwa amani na itapendeza zaidi.
Ogopa sana ''mjinga'' anaye-cheat kwa sababu tu eti analipiza kisasi. Hivi kama wewe ni mwanamke, ukienda kulalwa na mwanamume mwingine eti unalipiza kisasi, ni nani kati yako na mumewe mwenye kujidhalilisha? Kwenye sex hakuna cha kulipa kisasi kwa sababu mwili ni wako na huwezi kuugawa mwili wako hovyo eti unamkomoa mtu mwingine! Unajikomoa mwenyewe. Nimeona wanawake wengi wanajidhalilisha kwa kugawa hovyo eti wanalipiza kisasi wasijue kuwa wao ndiyo wanajidhalilisha. Mwanaume asiye mume wako akikulala anakudharau, na kukufanya kama maabara ya majaribio. Hata yale mambo anayoogopa kumfanyia mkewe atajaribu kwako.Inategemea ni nini kimesababisha. Kama ni malipizi ya visasi, wengi huwa wanaacha. Ila kama ni maumbile, hapo sijui.
siamini katika hiloWanaacha vizuri tu.... Labda kama inshu ya kuchepuka ni kubwa ambako mchepuko anafanywa sub yako
huo ni uzi tu/mawazoDuhhh....
Pole sana mkuu.....
kwanin mnahis neno kucheat ni kwa wanandoa tu?Ogopa sana ''mjinga'' anaye-cheat kwa sababu tu eti analipiza kisasi. Hivi kama wewe ni mwanamke, ukienda kulalwa na mwanamume mwingine eti unalipiza kisasi, ni nani kati yako na mumewe mwenye kujidhalilisha? Kwenye sex hakuna cha kulipa kisasi kwa sababu mwili ni wako na huwezi kuugawa mwili wako hovyo eti unamkomoa mtu mwingine! Unajikomoa mwenyewe. Nimeona wanawake wengi wanajidhalilisha kwa kugawa hovyo eti wanalipiza kisasi wasijue kuwa wao ndiyo wanajidhalilisha. Mwanaume asiye mume wako akikulala anakudharau, na kukufanya kama maabara ya majaribio. Hata yale mambo anayoogopa kumfanyia mkewe atajaribu kwako.
Mwanaume kama yuko kwenye ndoa au mahusiano ambayo Haina shida kubwa anachepuka kwa tamaa tu!!!!! Ambapo kuacha ni rahisi sana.siamini katika hilo
Hii mbinu wazee wa zamani ukiongea nao vizuri wameifanya sana....,..na inafanya kazi vizuri mnoooooo.Ogopa sana ''mjinga'' anaye-cheat kwa sababu tu eti analipiza kisasi. Hivi kama wewe ni mwanamke, ukienda kulalwa na mwanamume mwingine eti unalipiza kisasi, ni nani kati yako na mumewe mwenye kujidhalilisha? Kwenye sex hakuna cha kulipa kisasi kwa sababu mwili ni wako na huwezi kuugawa mwili wako hovyo eti unamkomoa mtu mwingine! Unajikomoa mwenyewe. Nimeona wanawake wengi wanajidhalilisha kwa kugawa hovyo eti wanalipiza kisasi wasijue kuwa wao ndiyo wanajidhalilisha. Mwanaume asiye mume wako akikulala anakudharau, na kukufanya kama maabara ya majaribio. Hata yale mambo anayoogopa kumfanyia mkewe atajaribu kwako.
Ndivyo walivyo na kuwabadilisha si rahisiOgopa sana ''mjinga'' anaye-cheat kwa sababu tu eti analipiza kisasi. Hivi kama wewe ni mwanamke, ukienda kulalwa na mwanamume mwingine eti unalipiza kisasi, ni nani kati yako na mumewe mwenye kujidhalilisha? Kwenye sex hakuna cha kulipa kisasi kwa sababu mwili ni wako na huwezi kuugawa mwili wako hovyo eti unamkomoa mtu mwingine! Unajikomoa mwenyewe. Nimeona wanawake wengi wanajidhalilisha kwa kugawa hovyo eti wanalipiza kisasi wasijue kuwa wao ndiyo wanajidhalilisha. Mwanaume asiye mume wako akikulala anakudharau, na kukufanya kama maabara ya majaribio. Hata yale mambo anayoogopa kumfanyia mkewe atajaribu kwako.