ulishasamehe mtu aliye cheat na akajirekebisha??? or once a cheater ..always a one

Msaliti hua hasamehewi hata siku moja,hilo ni kosa kubwa sana,

Forgiveness doesn't change that,it just makes it easier for them to justify their behavior the next time around,
Once you crossed that line,there's no come back,it over at all.
 
wengi mnaocoment mpo nje ya mada

je nimeuliza tena ushaaahi samehe mtu aliye cheat akajirekesbisha??
Na tuko off beat kabisaaaaaa........
Ndio kama Hana sababu maalumu ya kuchepuka huwa wanajirekebisha.
Wanaume wa kibongo wanajirekebisha hiviiii!!!!!?!
πŸ‘‡
Unaachwa ule mchepuko ambao alikucheat mpka ukaufamu,,, unachukuwa ingizo jipya ambalo ni tofauti kabisa na mbinu za ulinzi kuhakikisha hujui zinaongezwa...... Huku akijifanya mahaba tele.
 
kucheat na sense of perfection ni mbingu na ardhi....
mahusiano yanajengwa na trust....
haya mengine ya kutokukamilika trust ipo mbali sana nayo
ukamilifu vs uaminifu havina uhusiano
trust ni pamoja na kukiri makosa na kusameheana panapojitokeza mapungufu ya kibinadamu,

na hii huongeza heshima na nidhamu zaidi kwenye mahusiano
 
Tatizo sisi wanaume wabinafsi na wabishi. Tunajiona tunawafahamu sana kuliko nyie wenyewe
Afadhali we umejua kuwa ni wabinafsi mnoooo.....
Na ukiona mwanaume anaongea sana hajawahi kupewa makombora vizuri anapapaswa tu. Akipigwa missile's ballistics zikaingia sawa sawa kichwa huwa chini na bia zake mbili pembeni wimbo wa I love you very much my wife
 
kwa experience yangu....huwa hawaaachiπŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯Ή



wengi mnaotoa maoni mpo nje ya mada
swali ni je "ushawahi msamehe aliyekusaliti kimapenzi katika mahusiano yenu na akajirekebisha au ni tukio baada ya tukio?
Kama haujaweza enda kwenye shina ambalo ni sababu ya yeye ku cheat, kamchezo hakato acha, atakuwa ana badilisha style za ku cheat. Uzuri sijawai kuchitiwa so sijui inakuwaje
 
Kucheat ni kama kula nyama ya mtu,ukila mara moja huwez kuiacha...
Ukishacheat iwe kwa kisasi,hasira,ulilewa au ulibakwa hapo ndo tumeachana..

Unacheat na mtu kakupiga bao 4 na anakukojoza kila round then mkimaliza anakupa hela ya kulipia rent unadhan usaliti kama huo utakwisha?
 
masai dada anataka experience kutoka kwa watu walowahi kufumania wakisalitiwa iwe ni mpenzi au rafiki na bado wakaamua kuendeleza hayo mahusiano,, lakini sisi tunampa sababu za kucheat
Kwanini watu wana chitiana mkuu ?

watu hawaelewi swali, si ajabu ndio maana 😁😁..
Mie ukweli sijwai chitiwa wala kuchitiwa
 
masai dada anataka experience kutoka kwa watu walowahi kufumania wakisalitiwa iwe ni mpenzi au rafiki na bado wakaamua kuendeleza hayo mahusiano,, lakini sisi tunampa sababu za kucheat
Nimemweleza tulichitiwa na tulikuta walikuwa na miaka 10, ila alijenga hoja na kuhaidi kuacha. Mpaka leo tupo wote ingawa ni ngumu kwa wote. Inategemea na investment. Kama ndoa changa, unaanza upya. Ikiwa ni mamiaka, kwa mwanaume huwezi
 
Nimemweleza tulichitiwa na tulikuta walikuwa na miaka 10, ila alijenga hoja na kuhaidi kuacha. Mpaka leo tupo wote ingawa ni ngumu kwa wote. Inategemea na investment. Kama ndoa changa, unaanza upya. Ikiwa ni mamiaka, kwa mwanaume huwezi
Hua mnathibitisha vipi kua wameacha kucheat?
 
Hayana formula kama tunavyosema always.
Binafsi sijawahi experience kuwa na cheating partner wa aina yeyote.
Niki-imagine tu the way niliwapenda wote niliowai date nao, i know hata ningewadaka wakicheat, i would still forgive them so long as wangeomba msamaha and promise to never repeat it again.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…