ulishasamehe mtu aliye cheat na akajirekebisha??? or once a cheater ..always a one

ushawahi msamehe aliyekusaliti kimapenzi katika mahusiano yenu na akajirekebisha au ni tukio baada ya tukio?
Wahenga wanasema kizuri kula na wenzio nikaona sio kesi ukubwa jalala na ndio nishakua nafanyaje naishi tu na matakataka
 
Msaliti hua hasamehewi hata siku moja,hilo ni kosa kubwa sana,

Forgiveness doesn't change that,it just makes it easier for them to justify their behavior the next time around,
Once you crossed that line,there's no come back,it over at all.
this point......
sijui kwanin watu wengi wanashindwa ku adimit
mtu akisha cheat ni mshenzi tu ambae hashindwi kufanya hivyo next time
 
masai dada anataka experience kutoka kwa watu walowahi kufumania wakisalitiwa iwe ni mpenzi au rafiki na bado wakaamua kuendeleza hayo mahusiano,, lakini sisi tunampa sababu za kucheat
nimechoka my dear🤣🤣🤣

yaani wameamua kujiamulia mambo
 
kutoka nje ya mada kawaida, unaweza ukawa kwenye sex imekolea unakuta inaponyoka inaingia sehemu siku, bahat mbaya tu then mnaiwahi chap mnaitoa mnairudisha kwenyewe

Alivyonicheat nikampotezea kama mwezi hiv akanitafuta kwa kuniomba msamaha na tukasitisha mahusiano ila alikuwa anazijua hatua zangu, anajikutanisha na mimi , tukikutana analeta za kimapenzi. Uwaga napiga alaf namwambia aondoke

Alikuwa anajifanya nikipiga nitaendeleza mapenzi kwa nia ya msamaha, sikuwa hivyo akijilengeza nikipiga namwambia wifi yako atakuja mda si mrefu fanya uende, nampa hela ya sabuni akaoge

Nilikuwa namtreat kama dada poa tu
 
kwa experience yangu....huwa hawaaachi🥹🥹🥹🥹🥹🥹



wengi mnaotoa maoni mpo nje ya mada
swali ni je "ushawahi msamehe aliyekusaliti kimapenzi katika mahusiano yenu na akajirekebisha au ni tukio baada ya tukio?

Kucheat kunasababu nyingi, hivyo ni vizuri kujua kwanza kwa nini mwenzako anacheat....
Baadhi ya Sababu ni;
1. Mmoja kuwa sexual active sana, na mwingine kuwa chini - (naturally) na hii ni sababu kubwa.
2. Gubu - kunyimana kwa kukomoana (mmepishana kidogo tu, tayari hutaki kuguswa)
3. Ushamba - kutaka kuonja na kupata ladha mpya
4. Tabia ya mtu/Tamaa. Kuwa na tamaa zaidi ya uwezo wako/wenu.
UKISHAJUA KWANINI ANACHEAT, NDIO UTAJUA KAMA ANAWEZA KUACHA.

Kwa #1 kiujumla wanawake wengi wapo chini (less sexual active) kuliko wanaume na ndio sababu wanaume huonekana kucheat zaidi na ndio hapo wenzetu Waislam wakaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja....
 
mm sijawai samehe cheating.

Ila nishawai kua nakula demu wa mtu ambae alikua anasamehewa every time.

Ila hatukuacha kwa muda mrefu mpaka distance ilivo tutenganisha.

Sema kale kabint kalijua kunipenda 🤪
 
ukishindwa kuzuia tamaa ya ngono kwenye namba 4
basi kuna kazi na sehem nyingi dunian hazijufai
 
Mhuni ana kosa gani mpka umfanyie visasi yeye kapewa k akatae?

Dili na huyo alieoga na kuipeleka ichapwe mhuni asiguswee eboo

Mm kama ni demu sihangaiki na mwana, ila kama ni mke wangu kanizalia watoto, lazima ulipe gharama ya kutawanya familia yangu.
 
Mfano mtu akiiba kura unafikiri uchaguzi ujao ataacha wizi ? Never !!!
 
Kwa hivyo kuna sababu zinakubalika kucheat
Hakuna !
ila kama mtu hampeani tendo wachoyo mtu atalazimika kutafuta hiyo huduma njee huko huo ni mfaano tu

Na ni kwa gender zote
Ni vile tu wanaume ndio wana vuma sana usaliti upo pande zote
 
Mwanaume kama yuko kwenye ndoa au mahusiano ambayo Haina shida kubwa anachepuka kwa tamaa tu!!!!! Ambapo kuacha ni rahisi sana.
Lakini anapochepuka kwa sababu maalumu zaidi ya tamaa kuacha ni ngumu.
Mi naamini hivyo
Upo sahihi sana Mkuu leo dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…