ulishasamehe mtu aliye cheat na akajirekebisha??? or once a cheater ..always a one

Usaliti hauji kwa bahati mbaya ni maamuzi tu hasa kwa mwanamke sisi wanaume kucheat tunawapunguzia wake zetu mizigo
 
Huyu nishamzoea kesho tena ataamka kijana keshokutwa mzee, siku zingine jobless siku zingine ana kazi ko hanisumbui kabisa😅
Hapana mimi naishi kwa shemeji mambo mengi naona bhna
 
kwa experience yangu....huwa hawaaachi🥹🥹🥹🥹🥹🥹



wengi mnaotoa maoni mpo nje ya mada
swali ni je "ushawahi msamehe aliyekusaliti kimapenzi katika mahusiano yenu na akajirekebisha au ni tukio baada ya tukio?
Akidakwa anakuwa makini zaidi kwenye mchakato ila haachi kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…