Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Nipe mimi mkuu kwan nahisi natak kuoa alaf sina wa kumuoaHahaha mengine tu
Maneno mengine bhana pisi (pisi) adi kero
Ilikuwa pisi ya kuombea hata zamana kwenye kesi kubwa kubwa.. Toto ilikuwa ikicheka inamwanya.. lips denda,umbo namba nane.. nywele nyeusi tii halafu zake mwenyewe sio zile za kununua kwenye misaluni!.. na kale kasauti kake hakika nilidata komamanga la watu!.. ubovu ulikuwa anapandisha majini yanaongea kiarabu! Lamba mwiko wa watu nikaona isiwe tabu nikamuacha japo ilikuwa kwa mbinde maana na yale majini sijui yalinielewa!! Sijui Sana.
Kwanini haukumsaidia kutatua tatizo lake? Mapenzi ya kweli ni kutatua / kutibia mapungufu ya mwenzio na sio kumuacha.
πππlamba mwiko...naskiaga wenye majini yakipanda ni kipigo we uliponaje mkuu.Ilikuwa pisi ya kuombea hata zamana kwenye kesi kubwa kubwa.. Toto ilikuwa ikicheka inamwanya.. lips denda,umbo namba nane.. nywele nyeusi tii halafu zake mwenyewe sio zile za kununua kwenye misaluni!.. na kale kasauti kake hakika nilidata komamanga la watu!.. ubovu ulikuwa anapandisha majini yanaongea kiarabu! Lamba mwiko wa watu nikaona isiwe tabu nikamuacha japo ilikuwa kwa mbinde maana na yale majini sijui yalinielewa!! Sijui Sana.
Uchawi huwa hauendi kwa mentali!.. ππππlamba mwiko...naskiaga wenye majini yakipanda ni kipigo we uliponaje mkuu.
πππUchawi huwa hauendi kwa mentali!.. π
We nipe mbona tatiz dogo saan ilo.anapona mpk atashangaa yey mwenyewUnataka kukojolewa mzee
Sema hii kasoro nikubwa mno na haivumilikiPisi kaliii kinyama toto lakimachame ila sasa kasoro kwamizinga aiseeeeee nilikula chocho
Hamna hiyo nikumsugua vizuri tu mzee..Niliwahi kuwa na pisi Kali alafu lilikuwa na biashara yake alafu na ndinga kali,daah Yule demu kitandani alikuwa ni balaa ukimgusa tu dk 2 chupi iko maji tu.
Tatizo lake akikutafuta kwa simu ukawa busy ukashindwa kupokea ni mwendo wa matusi tu,au akituma sms ikapita dk 2 mbili hujareply atatuma hyo sms ya matusi mpaka utasema huyu atakua katumwa.
Ilibidi tu niachane nae japo ananisumbua Sana mpaka leo.
Ila Yule demu kafanya nijue kuwa ili mwanamke umfikishe kileleni ni mpaka akupende yeye Kama yeye.